kenya kuna upungufu mkubwa wa madaktari na wanasheria.
Tukumbuke kuwa kama wewe ni mwanasheria kutoka taifa lolote la jumuia ya afrika mashariki basi una haki ya kuhotubia kotini kule.
Na kuna upungufu mkubwa wao Kenya. Kazi kila sehemu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.