Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Nimeoa toka 2020,Mimi na mke wangu tumefanya juhudi mbali mbali za kupata mtoto, lakini mpaka sasa imeshindikana. Mke wangu anaingia period kama kawaida japo sio kwa mzunguko ulio rasmi unabadilika badilika.
Anaweza akaingia kwa 28,35,40 sometimes hata 50 days. Mliowahi kuingia kwenye hali kama hizi mlitumia mbinu gani nami niitwe baba wa watoto niliozaa na mke halali wa ndoa.
NB: Nina watoto wawili wa nje ya ndoa. Je, hiki ni kipimo sahihi kwamba Niko sawa au sote twende hosipitali.
please unapochangia be positive.