Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Mkuu ww vip ulishapima semen analysisNimeoa toka 2020,Mimi na mke wangu tumefanya juhudi mbali mbali za kupata mtoto, lakini mpaka sasa imeshindikana. Mke wangu anaingia period kama kawaida japo sio kwa mzunguko ulio rasmi unabadilika badilika.
Anaweza akaingia kwa 28,35,40 sometimes hata 50 days. Mliowahi kuingia kwenye hali kama hizi mlitumia mbinu gani nami niitwe baba wa watoto niliozaa na mke halali wa ndoa.
NB: Nina watoto wawili wa nje ya ndoa. Je, hiki ni kipimo sahihi kwamba Niko sawa au sote twende hosipitali.
please unapochangia be positive.
Je wakati mke wako akikaribia siku za hedhi huwa hajisikii kuumwa na tumbo?Mkuu ww vip ulishapima semen analysis
SijapimaMkuu ww vip ulishapima semen analysis
Kuna wakati alikuwa akiumwa tumbo....sasa haliumiJe wakati mke wako akikaribia siku za hedhi huwa hajisikii kuumwa na tumbo?
Duh yaani mpaka nashangaa..mwezi huu nlijua kabisa tayari ila Jana baada ya 50 days? Alooo...nlijiskia sio poa yaan2020 siyo mbali, Mwamini Mungu utapata watoto wengi.
Huo mzunguko wa siku nyingi hivyo inakuwaje ? maana ikizidi ni siku tano.
Usiache kuonana na Drs
Asante mkuu.Nendeninkw Wataalam aisee , humu utakumbuna na wajuaji wanaweza kukuvunja moyo!
Kuna Dk anaiywa Joshua,aliwahi kufanya kazi Regency Hosp Dar baadaye nasikia alihamia Hindu Mandal..Sina ihakika Sasa yupo wapi.Ni Mtaalam haswa!
Mh hapo muende hosp mkafanye spam analyzKuna wakati alikuwa akiumwa tumbo....sasa haliumi