Madaktari na wenye ufahamu saidia

Spellan

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
307
Reaction score
15
JF Doctors,,, nini chanzo na matibabu ya malienge (kengeza) kwa watoto wachanga?
 
Napenda kujuzwa pia!yanasababishwa na nini!!?
 
jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…