S Spellan JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 307 Reaction score 15 Sep 20, 2011 #1 JF Doctors,,, nini chanzo na matibabu ya malienge (kengeza) kwa watoto wachanga?
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Sep 20, 2011 #2 Napenda kujuzwa pia!yanasababishwa na nini!!?
TUNTEMEKE JF-Expert Member Joined Jun 15, 2009 Posts 4,587 Reaction score 580 Sep 20, 2011 #3 jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke
jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 1,994 Reaction score 1,540 Sep 21, 2011 #4 Gemmy said: jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke Click to expand... Is this a scientific reason?
Gemmy said: jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke Click to expand... Is this a scientific reason?