mimi ni kijana ambaye nina miaka 39! tatizo langu ni kwamba joint za vidole vya miguuni na mikononi pamoja na vidole vyenyewe vinaniuma sana kama vile nimekimbia sana na kufanya mazoezi na ninakua mchovu sana hasa usiku nikilala! tangu hali hii inianze ninashindwa hata kumridhisha mke wangu kwan nguvu zinakua hazipo, lakin hamu ya kufanya mapenzi ninakua nayo.naombeni msaada wenu ninateseka sana hata kazi za kunipatia mlo wa kila siku nashindwa kufanya kwa ukamilifu kutokana na tatizo hili.
jaribu kufanya mazoezi ya viongo ukihusisha kuvinyoosha na kuvivuta, fanya hvyo kla wakati hiyo itakusaidia kupunguza mauvivu.
Nenda hospitali ukapate matibabu/ushauri wa kitaalamu kutokana na vipimo/uchunguzi watakaofanya.
Kila la kheri na nakuombea upate nafuu haraka.
mimi ni kijana ambaye nina miaka 39! tatizo langu ni kwamba joint za vidole vya miguuni na mikononi pamoja na vidole vyenyewe vinaniuma sana kama vile nimekimbia sana na kufanya mazoezi na ninakua mchovu sana hasa usiku nikilala! tangu hali hii inianze ninashindwa hata kumridhisha mke wangu kwan nguvu zinakua hazipo, lakin hamu ya kufanya mapenzi ninakua nayo.naombeni msaada wenu ninateseka sana hata kazi za kunipatia mlo wa kila siku nashindwa kufanya kwa ukamilifu kutokana na tatizo hili.
Mbona inasound kama GOUT, nenda kapime URIC ACID, MKOJO for Protein, nadhani pia ingekuwa vizuri ucheki na FIGO
mimi ni kijana ambaye nina miaka 39! tatizo langu ni kwamba joint za vidole vya miguuni na mikononi pamoja na vidole vyenyewe vinaniuma sana kama vile nimekimbia sana na kufanya mazoezi na ninakua mchovu sana hasa usiku nikilala! tangu hali hii inianze ninashindwa hata kumridhisha mke wangu kwan nguvu zinakua hazipo, lakin hamu ya kufanya mapenzi ninakua nayo.naombeni msaada wenu ninateseka sana hata kazi za kunipatia mlo wa kila siku nashindwa kufanya kwa ukamilifu kutokana na tatizo hili.
Mkuu, wewe suluhisho la tatizo lako ni dogo sana na unalo mwenyewe. Acha sigara na tatizo lako litakwisha, kamwe haiwezekani ukawa mvuta sigara na ukawa na nguvu za kiume, kadharika magonjwa na maumivu mbalimbali hayatakaa yaishe kama unapenda kuvutavuta sigara. Ni heri uvute bangi kuliko sigara.Inaonekana tuko wengi asante nami naenda kuwaona wataalam kesho -mimi nasumbuliwa na bega la kushoto kidole gumba mkono wa kushoto na vidole viwili vya mwisho mguu wa kulia na mambo ya faragha aibu buno moja basi natafuta sigara na kuanzisha stori ambazo hata mimi mwenyewe sijijui naongea nini!LOL
Mkuu, kunywa maji mengi ya kawaida siyo ya kwenye friji na usisubiri kiu, acha vinywaji vyenye kaffeina, tumia chumvi ya baharini ambayo haijapita kiwandani (ya mawe), punguza pia vilevi na zaidi ufanye mazoezi hasa ya simama chuchumaa dakika 15 kila siku, jipigie saluti mwenyewe mkono mmoja baada ya mwingine mara round 5 tofauti, pendelea vyakula na vinywaji vyenye alkalini nyingi na uepuke kabisa vyenye asidi nyingi.mimi ni kijana ambaye nina miaka 39! tatizo langu ni kwamba joint za vidole vya miguuni na mikononi pamoja na vidole vyenyewe vinaniuma sana kama vile nimekimbia sana na kufanya mazoezi na ninakua mchovu sana hasa usiku nikilala! tangu hali hii inianze ninashindwa hata kumridhisha mke wangu kwan nguvu zinakua hazipo, lakin hamu ya kufanya mapenzi ninakua nayo.naombeni msaada wenu ninateseka sana hata kazi za kunipatia mlo wa kila siku nashindwa kufanya kwa ukamilifu kutokana na tatizo hili.
ok! nashukuru kwa ushauri ila ni wapi nitapata vipimo na daktari mvizur vya hili tatizo kwa hapa dar
Mkuu, wewe suluhisho la tatizo lako ni dogo sana na unalo mwenyewe. Acha sigara na tatizo lako litakwisha, kamwe haiwezekani ukawa mvuta sigara na ukawa na nguvu za kiume, kadharika magonjwa na maumivu mbalimbali hayatakaa yaishe kama unapenda kuvutavuta sigara. Ni heri uvute bangi kuliko sigara.
Ni rahisi sana mkuu, kwanza inabidi uamuwe mwenyewe. Lakini bado narudia ni rahisi sana. Ukihitaji maelezo ya ziada utani-pm. Sigara haifai.Mwamba inamaaana niache kabisa mpango wa kutengeneza viwingu?anyway thanks but trust me i will have to make hardest decision in my whole stupid life !
Mkuu tatizo lako ukienda kwa Dr. Baki (kama sijakosea spelling) yupo ana hospitali Kibaha litakwisha. Ni mtaalam sana kwa mifupa na viungo.vipimo na daktari mzuri wa hili tatizo langu?
! nashukuru mkubwajaribu kufanya mazoezi ya viongo ukihusisha kuvinyoosha na kuvivuta, fanya hvyo kla wakati hiyo itakusaidia kupunguza mauvivu.
kwa Dar nenda agakan au regency, ukiona sio favourable fika Peramiho hospital, coz hili tatizo lako si la kwenda kufanya mazoezi ila unatakiwa kumwona Dr na kufanya investigations za kutosha. Ukuishindwa kabisa ni pm