Madaktari naombeni msaada wenu ninasumbuliwa na tatizo ambalo linahatarisha ndoa yangu

Mwamba inamaaana niache kabisa mpango wa kutengeneza viwingu?anyway thanks but trust me i will have to make hardest decision in my whole stupid life !

nimeipenda hii na naamin utafanikiwa ni wavuta sigara wachache wanaoweza kukubali mabadiliko hongera hata kama hujaanza lakini naimani utafanya
 
Guys i need your support now, I am one week nicotine free!special thanks to my wife as she aggressively helped me kick the habit for past 4 year though sometimes she overstep her M.O .!
 
Bravo! take a lot of water or even fresh milk ili wakati sumu zinatoka zisikuletee matatizo mengine, usikate tamaa hata kama itakujia hamu kiasi gani jisaulishe na kazi zingine, jaribu baada ya mwezi hivi namna utakavyokuwa unaiona afya yako ilivyo fit hautatamani kurudia kuvuta sigara. I'm here in case you need more help or details.
 
Back
Top Bottom