Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Jamaniee, mimi na waifu wangu tunaishi vizuri sana.
kwa kawaida, kwetu sisi tuliooa ni kawaida kujua kila kitu kinachoendelea kwa wake zetu. mara nyingi mke wangu akiwa katikati ya mwezi, yaani siku y akumi na tatu au ya kumi na nne baada ya bleed, siku hizi zote huwa anakuwa mkali kishenzi.
Tunaweza kugombana hata kwa kijiko au hata kiti tu. mida hii kwa wale wanandoa mnajua kuwa ndo yai huwa limeiva na limeteremka tayari kusubiri mbegu, yaani 13-14 days after the cycle.
madaktari naomba mnisaidie, hivi hii ni kwanini? au kama yai limeiva wanawake wote wanakuaga wakali hivyohivyo? au ni kwangu tu. yaani siku zote huwa namvumilia tu kwasababu mida hiyo huwa ndo siku zake za kuchukia na kuwa mkali katika kila kitu. na nina uhakika ni tarehe hizo, kwasababu tuko makini sana kuhesabu tarehe ili tuzae watoto wetu kwa uzazi wa mpango, tunatumia kalenda, hatutumii kondomu wana vidonge. mara nyingi akifika siku hizo, anakuwa mkali, nisaidieni ni tatizo au ndo hormon? au nini jamani.