Madaktari siku hizi wana aibu sana

Madaktari siku hizi wana aibu sana

Mwanamke Kesha kuambia ana kipele kwenye papuchi. Hiyo ni dalili ya gono. Kweli utamkagua ili iweje? Unatakiwa ukague wenye mimba changa ili akijisahau kwa kupanua miguu unajisevia
 
Upo sahihi kabisa, ni kama vile madaktari wameacha kupima wagonjwa sasa. Cha ajabu kazi ya kupima wagonjwa wameikabidhi vipimo. Ukisema tumbo linauma utasikia kapime choo, damu na ultasaund. Hakupimi tumbo n'go?
Hivi kwanini doctors now days wako na aibu sana. Unaweza enda hospital ukamwelezea labda nina kipele sehem za siri.

Lakini swali atakalo kuuliza ni kimeanza lini then kina usaha au hakina ukimjibu anakupa dawa.

Hawezi sema labda akione kikoje au ukimwambia umwonyeshe kilivyo atakuambia hizo ni reaction tu za mwili.
Kumbe ni njia tu ya kuepuka kukuonea soo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁 kuna siku mzee mbaba nilichomoka xul bac nikajifanya kupitia hospital kibosho pale ili nipate cha kujitetea nikirudi xul ss pale hospital ya kibosho nikamkuta dokta ni sister ss nikamdanganya naugua pumbu erosion ah mzee mama sister akaniambia lala ktk kitanda hapo saula suruari ili akague 😀😀😀 kishingo upande nikachojoa suruali sister akakagua zakaria
Nimeshindwa kuelewa Xul ndo nini eti...viswahili vya facebook ni shida sana!
 
Hivi kwanini doctors now days wako na aibu sana. Hawezi sema labda akione kikoje au ukimwambia umwonyeshe kilivyo atakuambia hizo ni reaction tu za mwili.Kumbe ni njia tu ya kuepuka kukuonea soo.
Sidhani kama wewe huwa unaenda kwa ajili ya kupata msaada wa kidaktari. Nadhani wanakusoma, wanajua tu huyu ni pervert! Tena ningewashauri wawe wanakuandikia sindano tano za X-Pen (Crystapen) kukusaidia na vipele vyako vya sehemu za siri unavyotaka kuwaonyesha! Zitatatua tatizo lolote ulilonalo, iwe kipele sehemu za siri au kichwani!
 
Siyo lazima akukague, ila ukirudi kwa tatizo hilohilo anaweza kushawishika kukukagua, kuwa mpole..
 
Ulienda kupata tiba ama kukaguliwa sehemu za siri??
Kama alikuandikia dawa zinazohusiana na tatzo lako tatzo liko wapi hapo au wewe ulitaka mpaka aone sehemu zako za siri ndo uridhike??

jinsia yako tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom