Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Huyo alie Sex nae alikuwa na magonjwa zaid ya moja!.akajitibie kisonono na Gono.Kama ana hela ya Hospital.akanunue Ciprofloxan mg 500 ameze 14 Days.atapona
 
Aweke bondi bodaboda yake. Ili awahi kwa Daktari. Asione tabu kwani ninaumwa na mguu hii wiki yatatu asa ivi na nishatumi sichini ya sh 700,000 mpaka sasa. Nilijichoma na msumari tu. Ila nashkuru maendeleo mazuri Alhamdulilah.

Duh...pole...pole sana
 
Ana mwaka hajawa na mahusiano ya kingono, kwa mujibu wa maelezo yake
Huyo alie Sex nae alikuwa na magonjwa zaid ya moja!.akajitibie kisonono na Gono.Kama ana hela ya Hospital.akanunue Ciprofloxan mg 500 ameze 14 Days.atapona
 
Mkuu umetoa ushauri mzuri sana lakini mimi nilivyomuelewa kwamba jamaa yake hana pesa anaitaji msaada wa hali na mali
Huyo alie Sex nae alikuwa na magonjwa zaid ya moja!.akajitibie kisonono na Gono.Kama ana hela ya Hospital.akanunue Ciprofloxan mg 500 ameze 14 Days.atapona
 
Barikiwa sana mkuu.
Kwanza hiyo siyo fungas,ni dry skin ndio maana katumia hizo dawa za fungas hajapona, cha kwanza awe msafi kuoga pili pumbu zipate hewa asikae kwenye bodaboda,atumie hii dawa Beprosalic ointment kupaka kutwa mara 2
 
[emoji16][emoji16]mkuu hiyo nafsi mbona ya kwanza???

Nalifikisha hili haraka iwezekanavyo
Pole Sana Mkuu,Nenda Hospital ya wilaya kama hauna fedha...Usipende kutumia dawa hovyo hovyo bila medical prescription kutoka kwa Doctors.
 
Kwanza hiyo siyo fungas,ni dry skin ndio maana katumia hizo dawa za fungas hajapona, cha kwanza awe msafi kuoga pili pumbu zipate hewa asikae kwenye bodaboda,atumie hii dawa Beprosalic ointment kupaka kutwa mara 2
Mkuu hajapima akajua kama ana Eczema, wala Psoriasis, sasa kutumia hiyo Betamethasone+Salicylic Acid bila kupimwa na kuona exact tatizo huoni kama ni irrational na anakaribisha tatizo zaid?
 
Disease ishaingia Systemically so anahitaji matibabu ya kina. Akope au auze assets aende hosp akatibiwe (kimfaacho mtu ni kile alonacho)

Si akakope hata kwa washkaji wa kijiwe chake cha boda? Nyie mnaishije?

Pole kwake!
Washikaji mavi hao
 
Shukuran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…