Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Niaje....

Juzi katika mizunguko yangu ya hapa na pale nikajikuta navutika kwenda kumsalimia mwana mmoja kitaa cha zamani maana nilishahama hiko siku nyingi....

Nikamkuta mshakaji kava msuli anacheki movie ya Darfur baada ya story mbili tatu akaniambia anaumwa.....

Miezi 3 iliyopita alianza kuwashwa pumbu (anyway sina neno mbadala) akapuuza maana fangasi za hapa na pale sio issue kabisa.

Akasema wiki ya pili pumbu zikababuka ngozi wengi tunaita pumbu errosion, sema jamaa ni bodaboda so akawa bize tu kasema pumbu erosion huja na kujponea yenyewe... So akapuuza

Mambo yakawa sivyo dyudyu la yuyu nalo likaanza kubabuka ngozi jamaa akastuka, akakimbilia famasi (pharmarcy) akanunua Gentrisone cream akaanza kupaka shida ikaja wilki nzima ya kupaka gentrisone 70/100 ya dyudyu la yuyu ikawa ishababuka ngozi yaan ile unashika ngozi unaibandua tu, haiumi ila ngozi ya ndani ni laini sana so inauma dizaini....

Akaniambia akaenda famasi akanunua cream ingne inaitwa skirderm maana abiria hamna na hela hamna ye hakuweza kwenda hospital..

Akapakaa ila akasema mambo yakawa ndivyo sivyo 90% ya dyudyu la yuyu jekunduuu kama vile mtu umeungua baada ya kuja maji ukatumbua ukatoa ngozi ya nje... Kchwa cha dyudyu kikatoka mabaka meusi....vikaota vidonda kuanzia shinani kwenda juu vidnda sita!

Nkamwambia mbna una utani jamaa ilibid ukimbie kwa daktariii akacheka akasema bdaboda hiyo hapo nimepaki tatzo hela... Si ampe mtu... Kagoma kasema uaminifu hakna siku hizi...

Basi akamfata mshkaj kitaa ni daktari, mshkaji akatoa hofu akamwambja fangasi zmekomaa nakpa tiba konkiiii.... Akamwambia akanunue fluconazole tablet 1/14 na dawa ya kukausha vidnda ya kumeza...

Siku 14 tu zilitosha dyudyu la yuyu likapona, lakin ngozi ilibaki kuwa si imara, inakauka inapauka kisha inatoka.. Inabaki ngozi si imara kisha inakauka inarudia kupauka n kutoka... Kumchek jamaa akamwambia kawaidaaa ikikomaa itardi hali yake ya kawaida.... Mshkaiji akarudi kijiweni....

Zimepita wiki 2 hivi kasema vidonda vimeanza kurudi tena pia nozi ni dhaifu akishika na vidole anaumia kama kapaka pilipili vidoleni, kichwa cha abdalah kichwa wazi kinatoka vimagamba vyeusi.. Ndomana kavaa msuli[emoji16]

Hospitali kasema ye hana hela bali anasubiria kwa mtu na hajui atampa lini... Wataalamu wa ngozi ni kitu gani hiki?????

Nikaskitika mfukoni nina buku 8 tu nikamwachia buku tano maana kastop kazi bodaboda kampa deiwaka anapata huku buku za kula...
Huyo alie Sex nae alikuwa na magonjwa zaid ya moja!.akajitibie kisonono na Gono.Kama ana hela ya Hospital.akanunue Ciprofloxan mg 500 ameze 14 Days.atapona
 
Aweke bondi bodaboda yake. Ili awahi kwa Daktari. Asione tabu kwani ninaumwa na mguu hii wiki yatatu asa ivi na nishatumi sichini ya sh 700,000 mpaka sasa. Nilijichoma na msumari tu. Ila nashkuru maendeleo mazuri Alhamdulilah.


Duh...pole...pole sana
 
Ana mwaka hajawa na mahusiano ya kingono, kwa mujibu wa maelezo yake
Huyo alie Sex nae alikuwa na magonjwa zaid ya moja!.akajitibie kisonono na Gono.Kama ana hela ya Hospital.akanunue Ciprofloxan mg 500 ameze 14 Days.atapona
 
Mkuu umetoa ushauri mzuri sana lakini mimi nilivyomuelewa kwamba jamaa yake hana pesa anaitaji msaada wa hali na mali
Huyo alie Sex nae alikuwa na magonjwa zaid ya moja!.akajitibie kisonono na Gono.Kama ana hela ya Hospital.akanunue Ciprofloxan mg 500 ameze 14 Days.atapona
 
Barikiwa sana mkuu.
Kwanza hiyo siyo fungas,ni dry skin ndio maana katumia hizo dawa za fungas hajapona, cha kwanza awe msafi kuoga pili pumbu zipate hewa asikae kwenye bodaboda,atumie hii dawa Beprosalic ointment kupaka kutwa mara 2
 
[emoji16][emoji16]mkuu hiyo nafsi mbona ya kwanza???

Nalifikisha hili haraka iwezekanavyo
Pole Sana Mkuu,Nenda Hospital ya wilaya kama hauna fedha...Usipende kutumia dawa hovyo hovyo bila medical prescription kutoka kwa Doctors.
 
Kwanza hiyo siyo fungas,ni dry skin ndio maana katumia hizo dawa za fungas hajapona, cha kwanza awe msafi kuoga pili pumbu zipate hewa asikae kwenye bodaboda,atumie hii dawa Beprosalic ointment kupaka kutwa mara 2
Mkuu hajapima akajua kama ana Eczema, wala Psoriasis, sasa kutumia hiyo Betamethasone+Salicylic Acid bila kupimwa na kuona exact tatizo huoni kama ni irrational na anakaribisha tatizo zaid?
 
Disease ishaingia Systemically so anahitaji matibabu ya kina. Akope au auze assets aende hosp akatibiwe (kimfaacho mtu ni kile alonacho)

Si akakope hata kwa washkaji wa kijiwe chake cha boda? Nyie mnaishije?

Pole kwake!
Washikaji mavi hao
 
Shukuran mkuu
Mtu anajiozea anaangalia, ameshindwa kwenda hata kwa mkuu WA wilaya au DED au tajiri yeyote WA mtwara? Ingekua yeye ndio Mimi ningeenda na msuli nikafika kwa tajiri au mtu yeyote maarufu ningemfunulia huku naangua bonge la kilio Halaffu uone kama wasingekusaidia, nimeshamwona rafikiyangu alikomaa muhimbili akatibiwa kwa msamaha around 10m,maana alilazwa miezi mingi kusubiri operation na alikua analetewa chakula bure.
Huyo mtu wako Aache aibu na afunze kunyenyekea for the sake of his life. Hawa matajiri Mungu amewapa ili wasaidie watu around them. Mwambie akomae atafute msaada otherwise ataoza kimasihara
 
Back
Top Bottom