Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Watu na viswahili vitarafa vyenu!

Huu msemo "dudu la yoyo" mmeulazimisha hadi limekuwa ni tusi la nguoni!
Wana Jf ninyi wabaya!
 
Nifolow katika account yangu ujifunze jins ya kujitibu nguvu za kiume au kuboresha mfumo wako wa uzaz bila madhara na kwa matunda tu
@pona_nguvu_zakiume_kwa_matundah
 
Niaje....

Juzi katika mizunguko yangu ya hapa na pale nikajikuta navutika kwenda kumsalimia mwana mmoja kitaa cha zamani maana nilishahama hiko siku nyingi....

Nikamkuta mshakaji kava msuli anacheki movie ya Darfur baada ya story mbili tatu akaniambia anaumwa.....

Miezi 3 iliyopita alianza kuwashwa pumbu (anyway sina neno mbadala) akapuuza maana fangasi za hapa na pale sio issue kabisa.

Akasema wiki ya pili pumbu zikababuka ngozi wengi tunaita pumbu errosion, sema jamaa ni bodaboda so akawa bize tu kasema pumbu erosion huja na kujponea yenyewe... So akapuuza

Mambo yakawa sivyo dyudyu la yuyu nalo likaanza kubabuka ngozi jamaa akastuka, akakimbilia famasi (pharmarcy) akanunua Gentrisone cream akaanza kupaka shida ikaja wilki nzima ya kupaka gentrisone 70/100 ya dyudyu la yuyu ikawa ishababuka ngozi yaan ile unashika ngozi unaibandua tu, haiumi ila ngozi ya ndani ni laini sana so inauma dizaini....

Akaniambia akaenda famasi akanunua cream ingne inaitwa skirderm maana abiria hamna na hela hamna ye hakuweza kwenda hospital..

Akapakaa ila akasema mambo yakawa ndivyo sivyo 90% ya dyudyu la yuyu jekunduuu kama vile mtu umeungua baada ya kuja maji ukatumbua ukatoa ngozi ya nje... Kchwa cha dyudyu kikatoka mabaka meusi....vikaota vidonda kuanzia shinani kwenda juu vidnda sita!

Nkamwambia mbna una utani jamaa ilibid ukimbie kwa daktariii akacheka akasema bdaboda hiyo hapo nimepaki tatzo hela... Si ampe mtu... Kagoma kasema uaminifu hakna siku hizi...

Basi akamfata mshkaj kitaa ni daktari, mshkaji akatoa hofu akamwambja fangasi zmekomaa nakpa tiba konkiiii.... Akamwambia akanunue fluconazole tablet 1/14 na dawa ya kukausha vidnda ya kumeza...

Siku 14 tu zilitosha dyudyu la yuyu likapona, lakin ngozi ilibaki kuwa si imara, inakauka inapauka kisha inatoka.. Inabaki ngozi si imara kisha inakauka inarudia kupauka n kutoka... Kumchek jamaa akamwambia kawaidaaa ikikomaa itardi hali yake ya kawaida.... Mshkaiji akarudi kijiweni....

Zimepita wiki 2 hivi kasema vidonda vimeanza kurudi tena pia nozi ni dhaifu akishika na vidole anaumia kama kapaka pilipili vidoleni, kichwa cha abdalah kichwa wazi kinatoka vimagamba vyeusi.. Ndomana kavaa msuli[emoji16]

Hospitali kasema ye hana hela bali anasubiria kwa mtu na hajui atampa lini... Wataalamu wa ngozi ni kitu gani hiki?????

Nikaskitika mfukoni nina buku 8 tu nikamwachia buku tano maana kastop kazi bodaboda kampa deiwaka anapata huku buku za kula...
Kwa namna ulivyoelezea lazima umetumia lugha janja ila umeeleweka... ushauri wangu uza bodaboda hiyo kama tatizo ni pesa... then wahi hospitali. Utadedi afu hiyo boda wana wataiuza wakanywee Konyagi.

Afya kwanza mjomba
 
Back
Top Bottom