Madaktari tupeni elimu kuhusu blood group O.

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,033
Hbari za jioni ndugu zangu.
Naombeni mnipe elimu kuhusu blood group O-/O+ na rhesus factor zake - na +

Kuhusu
1/Magonjwa yote yanayomkumba binadamu. Nimesikia watu wenye hili kundi la damu hawapatwi na magonjwa mbalimbali kwa sababu damu yao ina kinga imara, watu wakaenda mbali zaidi wakasema hata ukimwi haumgusi mwenye blood group O.
2/Kwa mwanamke mwenye mimba wanasema ile mimba itunge vyema basi mume na mke wanapaswa wawe na damu zinazofanana vinginevyo mtoto atakufa au miscarriage itokee.
3/Kwenye uchangiaji wa damu lazima umpate mwenzio mnaefanana damu, +to+ na -to- na rhesus factor zifanane vingivyo ni kifo.
4/Watu wenye haya makundi ni wachache sana dunia? kuna ukweli hapa wataalamu?

Nawasilisha.
 
mengine sijui ila kwa suala la uzazi yaweza kuwa kweli.mwingine mwenye kundi hilo anawezakutoa ushuhuda
 
Kama mi nna O -ve nasikia mapya kila mara mengine yananitisha... sielewi
 
Ni kweli kuhusu iyo ya kwanza pia.. except hapo kwenye ukimwi sina uhakika nako sana.
Speaking from experience though
 
MIMI NINA 0+ RH, KUSEMA UKWELI MIMI MAGONJWA YA MWENDO KASI HUWA HAYANIPATI NA YAKINIPATA HUWA HAYANISUMBUI SANA NA HUWA SICHELEWI KUPONA, HILO LA PILI SINA UHAKIKA NALO. NGOJA WATAALAM WAJE.
 
Ngoma unapata vzr sana maana, wenye Hilo group ni wengi sana, kuliko magroup mengine
 
MIMI NINA 0+ RH, KUSEMA UKWELI MIMI MAGONJWA YA MWENDO KASI HUWA HAYANIPATI NA YAKINIPATA HUWA HAYANISUMBUI SANA NA HUWA SICHELEWI KUPONA, HILO LA PILI SINA UHAKIKA NALO. NGOJA WATAALAM WAJE.
Magonjwa ya mwendokasi ndo yapi hayo mkuu?
 
kitaalamu mtu mwenye dam group o na mwenye result positive magonjwa haya yakawaida kam maliria na takuamvukizwa ni ngum kwa binadam kam huyo coz tunasema anadam kama ya monkey co more reactive from the gems
 
Mi nilickia kua watu wenye O- ndio wnaokuwa ma carrier wa magonjwa pasipo wao kuugua kirahis. Mfano mtu akiwa na HIV+ kila anayemwakiza atakufa lakin yeye ataendelea kudunda kitaa kwa miaka ming sna
 
Mkuu hiyo ndo group yangu... dah hii nmeipenda
 
Hbari za jioni ndugu zangu.
Naombeni mnipe elimu kuhusu blood group O-/O+ na rhesus factor zake - na +

Kuhusu
1/Magonjwa yote yanayomkumba binadamu. Nimesikia watu wenye hili kundi la damu hawapatwi na magonjwa mbalimbali kwa sababu damu yao ina kinga imara, watu wakaenda mbali zaidi wakasema hata ukimwi haumgusi mwenye blood group O.
2/Kwa mwanamke mwenye mimba wanasema ile mimba itunge vyema basi mume na mke wanapaswa wawe na damu zinazofanana vinginevyo mtoto atakufa au miscarriage itokee.
3/Kwenye uchangiaji wa damu lazima umpate mwenzio mnaefanana damu, +to+ na -to- na rhesus factor zifanane vingivyo ni kifo.
4/Watu wenye haya makundi ni wachache sana dunia? kuna ukweli hapa wataalamu?

Nawasilisha.

Mkuu naomba nijibu maswali yako kwa mtiririko kama ulivyoyauliza

1.sio kweli kweli kwamba watu wenye group O hawapati magonjwa.wanapatwa na magonjwa the sama kama watu wa group zingine wanavyokumbwa na magonjwa

Kuhusu HIV wanaambukizwa kama watu wengine wenye makundi tofauti na kundi O.

2. Kuhusu utungaji wa mimba haina uhusiano hapa namaanisha kukutana kwa mbegu ya baba na yai la mama hakuna uhusika wa kundi la damu

Ila kama makundi ya hwa watu ni tofauti na hasa mama anapokuwa na kundi hasi ni kweli kunakuwa na matatzo ambayo hata hvyo akihudhuria clinic vizuri yanazuilika

3. Ni kweli

4. Wachache ni wale wenye O- lakin O+ ni wengi zaid ya nusu

Nawasilisha
 
Mi nilickia kua watu wenye O- ndio wnaokuwa ma carrier wa magonjwa pasipo wao kuugua kirahis. Mfano mtu akiwa na HIV+ kila anayemwakiza atakufa lakin yeye ataendelea kudunda kitaa kwa miaka ming sna

Katika elimu ya medical hatuna kitu kama hiki
 
Back
Top Bottom