God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Hbari za jioni ndugu zangu.
Naombeni mnipe elimu kuhusu blood group O-/O+ na rhesus factor zake - na +
Kuhusu
1/Magonjwa yote yanayomkumba binadamu. Nimesikia watu wenye hili kundi la damu hawapatwi na magonjwa mbalimbali kwa sababu damu yao ina kinga imara, watu wakaenda mbali zaidi wakasema hata ukimwi haumgusi mwenye blood group O.
2/Kwa mwanamke mwenye mimba wanasema ile mimba itunge vyema basi mume na mke wanapaswa wawe na damu zinazofanana vinginevyo mtoto atakufa au miscarriage itokee.
3/Kwenye uchangiaji wa damu lazima umpate mwenzio mnaefanana damu, +to+ na -to- na rhesus factor zifanane vingivyo ni kifo.
4/Watu wenye haya makundi ni wachache sana dunia? kuna ukweli hapa wataalamu?
Nawasilisha.