Madaktari wa dotcom mnaboa sana

Madaktari wa dotcom mnaboa sana

wazawa

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
184
Reaction score
58
Kumezuka tabia sugu Ya hivi karibuni kwa madaktari na manesi kupiga picha faili la mgonjwa lenye taarifa Za mgonjwa ila zina misdiagnosis Au mismanagement kwa muktadha wa kuonyesha kuwa daktari husika amekosea Au kuonyesha ujing a wake licha Ya kutokuzingatia taarifa Ya mgonjwa n Siri je ni ulimbukeni wa utandawazi au ushamba na hii inamaanisha ethics n swala gumu haswa kwa madaktari nyinyi wa semester je hakuna njia nyingine ya kumsahihisha daktari na sio kugeuza topics ktik magroup Ya whtsup yasio kuwa na tija Ya kimaendeleo
 
Hizi simu Za mikopo zinawaziziua watu kweli na kuacha kufata kanuni Za kitaaluma sawa na polisi apige picha wakati anamuadhibu mtuhumiwa, benka apige picha burugutu la pesa mwalimu apige picha majibu Ya mtihani na kupost na mifano mingi tu ni kuwa wanataaluma wamekosa weledi wa kusimamia kanuni zao au ukanjanja mwingi sana
 
khaaaaaaaaa...................kweli sasa kazi zimekusa vijiwe
 
Back
Top Bottom