Acha woga , ni vizuri wakaenda huko na kuweza kupata experience njisi ya kupambana nao na sio kusubiri hadi hapo itakapogundulika kuna ebola tz ndo waanze kuhaha, chukua mfano wa uganda ni moja ya nchi ambazo zina preperation na uwezo wa hali ya juu kupambana na ebola na nchi ya kwanza Africa kutuma madikitari wa,kujutolea na hadi sasa imepoteza madikitari 2 huko west africa tokana na ebola, lakini madoctor watakorudi salaama wataliwezesha taifa kujipanga na jinsi ya kupambana na hilo gonjwa
Experience is the best teacher