Future president
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 144
- 39
Jana nilipata mshituko ambao mpaka sasa unaendelea kunistua na kuona hatari mbeleni,je wanajf hasa category ya jf doctor,kuna habari ya madaktari wa kujitolea wanaotoka tanzania eti wanaenda kutoa msaada wa utabibu wa ugonjwa ambukizi wa ebola nchi za magharibi mwa africa,nahisi hawa hawarudi salama na hata wakirudi ndio chanzo cha tanzania kupata ugonjwa huu