Madaktari wa kitengo cha dharura Muhimbili mmenitoa machozi

Madaktari wa kitengo cha dharura Muhimbili mmenitoa machozi

Mmh... mliingia huko emergency? Mie niliishia reception tu.
 
hongera zao sana bado dunia ina mambo mazur ya kufurahisha.
 
Mm niliingia Emergency... Kwa kweli wapo vizuri na nilitaman sana kupata contact za Dr na Nurse aliyenipokea ila nilishindwa... Wanahudumia vzr kwa kweli
 
Mkuu kumbe hapo MNH bado kuna kondoo kati ya kundi kubwa la mbwa mwitu?
 
Naunga mkono hoja
Itasaidia kujua ni nani walikuwa zamu na ikiwwzekana kuwa rewarded.

Thx Youngs doctors at least ubinadamu unaanza kurudi katika sehemu nyeti kama hospital!

Serikali hii utasikia ni kosa la jinai kwa mtumishi wa umma kupokea zawadi kutoka kwa mteja au raia, vinginevyo ukipokea mtaarifu bosi wako ili yeye aamue cha kufanya.
Kama kuichukua yeye au kuigawa sawa kwa sawa kwa watumishi wote hata ambao hawakuwepo zamu.
 
Duh!!! Hii story imenigusa sana, ahsante sana Best King'asti kuniita kwenye uzi huu. Dr measkron pita huku uone ukarimu wa Madaktari.
 
Last edited by a moderator:
Labda ni ushamba au ujinga wangu sjui!!?

Hivi vipimo vya x-ray na vingine vya matibabu tunalipia ili kufidia gharama za nini!!!??

Yaan katika hali kama hiyo ya mtoto mahututi unalipia gharama za x-ray au upasuaji tena kwa gharama kubwa kwanini??kuna kitu gani ambacho labda kina matumizi ya gharama hivo lazima kilipiwe?,eg mashine,daktari,visu,mikasi,umeme,mionzi,chemikali.
 
Mbwembwe za madaktari kupenda kusifiwa....majitu siyapendi yale,basi tu....give me services and i pay u,no mbwembwe
 
Waliopongeza hapa kuanzia Mkuu dala dala,ada kiss,everlenk na beb Arna wote tumesema jinsi tulivyopewa Nursing care, Humble Handling plus Professional performance ya Madaktari wa ER hapo MNH ni kitu kimetupa faraja sana hakukuwa na mbwembwe. zipo idara nyingi hapo MNH utendaji wa idara hizo unafahamika ila sisi tumewapongeza Wahudumu wa hapo ER ni mfano wa kuigwa
Hawakututoza pesa wala hatukuona Mbwembwe
 
Machozi ya furaha: cc King'asti - kumbuka maneno yako kwa thread ya Dark City: Mwanyasi yuko.....

Ndugu yangu Katibu Mwanyasi, hali ya nchi hii ni mbaya sana.

Mimi pia nawapongeza hao watoa huduma ya afya kwa moyo wao wa kusaidia wagonjwa na hata kujitolea pesa na mali zao nyingine. Ni jambo zuri sana ila pia ni hatari kwa sababu huduma itatolewa kutegemea na jinsi walivyoguswa.

Wanatakiwa pia kutafuta suluhu kwa kuomba hospitali iweke utaratibu wa kuwahudumia watuo wasiojiweza hata kama hawana pesa. They can be part of the long term solution.

Hahaha kaka hata nakumbuka basi? Nikumbushe bwana, nazeeka dada yako.

Ila two weeks ago shosti wangu alikuwa anauguza mama yake mzazi MOI. Yaanj walitoa laki 2 ili apate private room na ilishindikana. Japo alipata kitanda, hakulazwa chini. Zile wards za muhimbili, nakumbuka kumuambia BAK kuwa nilienda kumtfuta mgonjwa mmoja nikajisikia kama mchawi. Viatu vyangu vya kokoko nilitamani kushikilia mkononi, kiukweli niliona aibu mbele ya wapiga kura wale (nikaelewa kwa nini waziri mkuu analiaga)

Siku hizi una wapiga kura? Hongera sana King'asti!
 
Last edited by a moderator:
Hao vijana wameonyesha utajiri kuliko rugemalila 100 kwa pamoja. Human race inahitaji binadamu wa aina hii kuiponya dunia yetu.
 
Babu, utaratibu upo na wagonjwa wasio na mwenyewe (mfano waliookotwa, ajali na waliotelekezwa muda mrefu ) wanapaswa kuhudumiwa bure. Issue ni hiyo hela yenyewe ya bajeti hadi ifike hospitali kumekuchwa.


Bwana weeh, nimeshashtukia bila kuwa na wapiga kura madili yote ya kiescrow yatanipita hivi hivi nikiwa nimechutama
Ndugu yangu Katibu Mwanyasi, hali ya nchi hii ni mbaya sana.

Mimi pia nawapongeza hao watoa huduma ya afya kwa moyo wao wa kusaidia wagonjwa na hata kujitolea pesa na mali zao nyingine. Ni jambo zuri sana ila pia ni hatari kwa sababu huduma itatolewa kutegemea na jinsi walivyoguswa.

Wanatakiwa pia kutafuta suluhu kwa kuomba hospitali iweke utaratibu wa kuwahudumia watuo wasiojiweza hata kama hawana pesa. They can be part of the long term solution.



Siku hizi una wapiga kura? Hongera sana King'asti!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana,
Hao madaktari wa hivyo ni wale wenye wito wa kazi yao.

Naona kama machozi yananitoka.
 
Back
Top Bottom