Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Yani kila hospital ninayopita sijawahi kutana na Dr asiye na mvutooo.
Duuuh wanajua kuvaa hasa suruali za kadeti mashati yamenyooshwa vizur yani mahandsome[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Jaman jana nilikuwa mitaa ya Mirembe hospital wale wakaka sjui walikuwa kwenye field sijui mitihani yani wotee wazurii khaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Ila madr wanajua kuvaa alafu mbona sura zaoo nzurii sana au macho yangu.

Usiombe ukutane na Mahb madr ndo wametoka kuajiriwa kama mwaka au miaka miwili wanakuwaga wazuri yanii vijana vijana wanavaa vizur yani [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Alafu Madr wanapenda kumiliki vitu vizur vizur kuanzia simu,magari na nyumba kwa sababu wana mihelaaa.

Ndo maana nimeamua kuolewa na Mganga kalumanzila maana nawazimia madaktareeee[emoji182][emoji182][emoji182]View attachment 874207
Tenaaa
 
Back
Top Bottom