Crown ni sawa na kusema Kofia....
Jino ambalo ni bovu na ambalo halina maumivu huchongwa na kutengenezewa jino ambalo linafanana na meno mengine,
Na kama lina maumivu huuliwa mizizi yake na kuveshea kofia kwa juu.
Zipo crown za material ya Ceramic, Zirconia na Precious metal
Gharama inategemeana na sehemu
Kwa msaada zaidi waweza nitafuta Inbox
Kwa contact za madaktari.
Mm ni Mmoja wapo wa watu ambao tunatengeneza Meno ila tunashirikiana na Madaktari kutoka clinic mbalimbali kwa Dar na Mikoani....Arusha na Dodoma.