Madaktari wa meno nahitaji kufahamu kuhusu DENTAL CROWN

Crown inawekwa kwenye jino bovu kama unavyovaa kofia kichwani. Crown inafanya kazi badala ya enamel.
Inaweza kudumu kwa miaka 20 baada ya hapo unabadilisha. Inatengenezwa kwa dhahabu mara nyingi.
Hivi ulisema hospitali gani nzuri ya meno pale mwenge kwa kakobe?
 
Kwa mtu mwenye florosis ni huduma gani inamfaa mathalan watu wa singida na arusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…