Madaktari wa Nairobi waanza mgomo kwa kutolipwa mishahara

Wewe huna akili na unatabia ya kutetea wakikuyu wenzako ambao wote ni hopeless kabisa, matatizo ya malipo kwa madaktari Kenya ni ya muda mrefu na hayajawahi kupatiwa ufumbuzi wa kudumu huwa yanaibuka kila baada ya kipindi, vipi hii nayo ilisababishwa na Senate?
 
Kuna hii documentary nzima inaelezea jinsi Kenya doctors eanavyohangaisha kwa miaka mingi sasa katika kupata malipo yao hata kabla Kenya haijaingia katika mfumo wa ugatuzi. Wacha kutetea leadership failures ya serikali yenu wakati ni wazi kwamba Jubilee imefeli terribly kuongoza nchi
 
Your support for Jubilee blinds you to the FACT that most is not all counties have had major problems. with doctors & nurses. Including the longest strike by both in history after so called devolution.
If counties were doing so well, teachers like you would now be also devolved or at least proposing to be devolved. But ask any Gok worker if they want to be employed by any of the 47 tinfoil tribal warlords..Naah
 
Sasa serikali yenyewe imewajibu madaktari kwamba haina pesa, wewe ni nani unayesema pesa ipo?, wacha kupenda kutetea ujinga
Huyo mpumbavu cku c nyingi alijitapa eti Kenya ndio inayoongoza kulipa mishahara mikubwa kwa watumishi wa umma ukanda huu mishahara mikubwa yenyewe ndio hii
 
Itakua anatumia ushahidi wa GDP huyo ,huwajui wakenya tena kwa GDP ni bora asione mradi wowote mwaka nzima ila aone GDP ipo juu anakua ameridhika na atasema yeth yeth yeth
 
Drama za kunya huwa Mungu hazivumilii.wanapata majibu at the right time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…