Serikali iliwaambia madactor kama hawataki kufanya kazi serikalini waende kwenye hospital binafsi, so wamefungua hospital binafsi ila wame-generate idea ya serikali badala ya kuacha kazi wao wanakuja kutafuta wateja kwenye hospital za serikali na kuwatibia kwenye ofisi zao binafsi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums