Madaktari wa Tanzania jifunzeni kwenda na muda

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Utafiti wangu binafsi.

Madaktari wengi Tanzania hawawezi KWENDA na muda wanapoteza muda sana wawapo kazini.

Kuna foleni zipo mahospitalini simply because madaktari na lab technician hawazingatii muda.

Daktari anapiga soga na mgonjwa ndani ya chumba cha daktari kama wapo kijiweni.

Wastani wa kumuhudumia mgonjwa ambae vipimo vimeshaonyesha ana malaria ni less than 10 min sio unakaa nae dk 40 huko chumbani, utadhan unamfanyia brain surgery.

Tanzania doctors wake up.

Ukienda south Africa ndio utaona u-panctuality wa madaktari.
 
1) wagonjwa wengi wa tanzania kuachana na tiba ya dawa wanahitaji sana ushauri nature ya matatizo yao

2) History ya mgonjwa inabidi umchimbe sana wengi hawajui kujielezea hali zao wanazosikia

Mfano: Atakwambia na harisha ila hamalizii anaharisha damu au majimaji

3)sikuizi maranyingi kutokana na ongezeko la Non communicable desease like hypertension
Ilazimika doctor ajihakikishie tena pressure yake na uzito

N:B mtu yoyote akiwa hayuko vizuri kiafya tiari anakuwa Mental disturbed so inatakiwa umtake care kama mtoto
 
Hutaki wenzio wasikilizwe?...
Hospitali sio sokoni...
Nenda katibiwe huko south...
Acha ujuaji..
 
Sawa ukionaje tafuta PD wako mkuu usisumbuke na hao wa kuajiriwa
 
hapa nmeona hoja nzuri sana, imejibiwa kwa mtazamo na majibu saafo sana
 
Kama hiyo ndio sababu umeona basi ma Dr wa Tanzania wako vizuri Cha msingi jitahidi uwe una wahi foleni
 
Yaani iingie pisi ya maana niache kuongea naye vizuri n.a. kuona kama anaweza kunikubali niwe mwandani wake eti kisa muda ?

Nop huduma mtapata kikubwa mkubali hisia zangu ni muhimu pia

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Yaani kwa akili yako unataka mgonjwa aliingia tu daktari aseme makaratasi na kuandika dawa? Wacha hizo Mangi!
 
Na MITUHA hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…