Madaktari wa Tanzania waweka rekodi mpya Afrika na dunia kwa ujumla



Jamani, naomba sana Watanzania acheni tabia ya kukimbila media ili kupata sifa.

Sijafahamu ni technolojia gani inayotoa assurance ya successful operation kabla hata mtu hajapata fahamu.

Lakini kingine, hakuna asiyejua ubingwa wa wahindi. Ninaona kwenye picha anayefanya procedures hapo ni kama mtu wa rangi. Au ndiye nyangasa? Wengine nawaona wanachunguilia kwa mbali ingawa wako kwenye plicha kama vile wanashuhudia. Tunajuaje wamefanya wao au walikuwa wanaonyeshwa inavyokuwaga?

Ninakumbuka uchunguliaji wa Ngeleja wakati akiwa kwenye msafara na vasco da gama eti kuonyesha naye alikuwa kwenye msfara wa raisi ulaya. Yasie kuwa yanajirudia.

Ninaobma mtotot apone, waendelee kufanya hizo operations bila ulazlima wa kuwa na wahindi, ndipo tushangilie .Kwa sasa tunaona ni wale wanaompa mgonjwa wa diabetes glucose halfu wanabadki wametoa mimacho na stethoscope kama wacheza sinema.

Tunaombea sana mabadiliko huduma za afya TAnzania na ndiyo sabbu tunahtaji waganga wetu wawe serious pamoja na serikali iwakumbuke Watnzania wanaokufa kama kuku wa kideli kwa kukosa huduma za afya. Usaanii wa kukimbila kwenye media kwa masuala ambayo hawajafanya wao, waache. Seriakli haiwezi kuwarubni wananchi kwa kutumia sinema na maigizo hatika kila jambo. La afya halpana. Tunahitaji uhalisia na ambao hauhitaji kupigiwa debe maana kila mtu atafahamu tu.
 
Wakenya wataendelea na misifa yao huku TZ inatusua.
 
Pambaffuuuuu...... weye bichwa kubwa, katika fani ya Utabibu Tanzania ina heshima yake, kuanzia kwenye ufundishaji.

Ndio bwana Kyenju sifa za madaktari wa Bongo tunazifahamu vizuri Kenya, maana wamejitangaza kila mahali. Mabango kama hili hapa chini yamejaa Kenya yote, wana ujuzi wa kutibu kila kitu. Wengine wanajinadi kutibu hata "ndoa","umaskini" sasa sijui mbona wameshindwa kuwatibu nyie.

 
Wakenya wataendelea na misifa yao huku TZ inatusua.

Annael TZ inasua wapi? mmepata sauti juzi Magu alipoingia, side shows zishawaponza. Nawapa mwaka moja tu, mtarudi kuingiza mkia katikati ya miguu kama ilivyo desturi.
 
Pambaffuuuuu...... weye bichwa kubwa, katika fani ya Utabibu Tanzania ina heshima yake, kuanzia kwenye ufundishaji.
Pambaffuuuuu...... weye bichwa kubwa, katika fani ya Utabibu Tanzania ina heshima yake, kuanzia kwenye ufundishaji.

Tiba na elimu za kiasili hapo mmebobea, hata hamlinganishwi na nchi yeyote duniani, lakini upande wa modern medicine, hapo nina shaka.
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiii
Go @Magufuli go, ulipo tupo.
 
Kazi yenyewe inajieleza hata usema hatujiamini au sijui walimu, lakini kazi imefanyika na mafanikio umeyakubali welcome you too for trusted service.
 
Kweli huu itakuwa ni upasuaji wa kihistoria hapa nchini ila sidhani kuwa hiyo elimu hasa elimu ya juu ni kutoka Tanzania.Thumbup!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…