Madaktari waliogundua vipandikizi vya kansa kwenye chanjo wameuliwa


vaccination siku hizi ni 'deadly deception'.Deadly deception is almost everywhere,na wale walio nyuma ya hizi deadly deceptions ndio wanaonekana wa maana sana hapa duniani lakini wale wanaotetea maisha ya watu ili wasije kudanganyika na hizi deadly deceptions ndio wanaonekana wabaya sana,hatari katika jamii na hawafai kabisa kuishi.

Hii dunia sasa imebadilika sana,haramu ni halali na halali ni haramu,mkombozi anaonekana ni muangamizi na muangamizi anaonekana ni mkombozi.Watu wametekwa sana akili na hawa ma tycoon pasipo kujitambua.

Leo hii ukitangaza hadharani kwamba chanjo ni hatari au dawa za uzazi wa mpango ni hatari,utapotezwa kimyakimya na hata jamii haitakuonea huruma.Lakini jamii hiyohiyo inashindwa kujiuliza maswali mepesi sana,mfano,hapo zamani mbona mababu na mabibi zetu waliishi bila chanjo,hawakutumia vidonge vya uzazi wa mpango na hakukuwa na tatizo lolote?

-Je,ni kweli hawa jamaa wanatupenda sana kiasi cha kutumia nguvu nyingi kulinda afya zetu kwa chanjo nk?Kama ni kweli mbona wanaua watu Iraq,Syria,Libya,Plestine,Afghanistan nk?Je hao wengine sio watu?

-Je,ni kweli wanatupenda kiasi cha kutupa vyandarua bure ili kutulinda na malaria?Je,ni kweli chandarua kinakulinda na malaria?Je,ni kweli mbu hakuumi ukiwa nje ya chandarua/hujalala na kukusubiri mpaka ulale kitandani?

Siku hizi kuna watoto wanaugua ugonjwa wa pumu wangali wadogo sana,wazazi wao hawana historia ya pumu kwenye koo zao,je hawa watoto pumu wameipata wapi?Pia kuna watoto wengi sana wana tabia ya kusahausahau na hawawezi ku focus kwenye jambo,mbona zamani tatizo hili halikuwepo?Nenda Ocean Road kauliza takwimu za watoto wanaougua cancer za miaka ya nyuma halafu ulinganishe na sasa,halafu jiulize kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya takwimu hizo?

Hapa kwetu wanaohusika na ku verify chanjo ni mabwege sana,they don't care what is inside it,hii ni kwasababu bongo zao haziko advanced kiasi cha kuweza kuchunguza chanjo hizo kwakua kwao kila kitu kutoka kwa mzungu ni sahihi tu kwakua mzungu anatupenda na hakosei.

almost 80% ya wagonjwa wote wa cancer pale Ocean Road ni wanawake,na cancer zao huwa mara nyingi ni za kizazi au matiti,je watu wameshajiuliza kwanini?

Siku zote ukiwa na taarifa au ujuzi fulani ambao ni muhimu sana kwa maisha yako/jamii halafu ujuzi au taarifa hiyo haikusaidii chochote,basi wewe huna faida au msaada ktk jamii.Sasa kama taarifa kama hizi hazibadili chochote kwa wanaozisoma basi jamiiforums haina maana yoyote kwa members wake.
 


mkuu Deception ninahitaji msaada wako kiongozi...please nakuomba uniPM pindi utakaposoma ujumbe huu...
 
Deception naomba uniPM ili unielekeze chanjo gani ni slm na isiyo salama kwa mwanangu.
 
Nilipoona tu umekoment kwenye uu Uzi nikasema sasa tayari darasa linaanza kupata ufafanuzi zaidi.shukrani sana mkuu
 
APA akili imeamka sasa sikuwai kujua chochote kuhusu ili
 
Hii nchi imefika pabaya sana.

Simu- Hewa

Dawa hewa

Wanavyuo- Hewa

Wasomi - Hewa

Watumishi - Hewa

Barabara - Hewa

Makalio-Hewa

Wapenzi - Hewa

Watoto-Hewa

Kumbe karibu tutaanza kula chakula Hewa.
 
Kuna jambo hapa
 
Nilipoona tu umekoment kwenye uu Uzi nikasema sasa tayari darasa linaanza kupata ufafanuzi zaidi.shukrani sana mkuu

Vaccination/chanjo zina tricks/ujanja ujanja sana mkuu,kama mtu ni mvivu wa kufikiri lazima adanganyike.Ukweli ni kwamba binadamu hahitaji chanjo ili aepukane na magonjwa.Vaccination is a big conspiracy na ni biashara kubwa sana.

Hebu tujiulize kwa mfano mdogo tu;Mwili wa mwanadamu umeumbwa katika mfumo ambao ni very complicated,na kila kitu kwenye mwili wake kina maana yake,hakiko kwa bahati mbaya.Hivyo basi,hata kitu kilichomwumba huyu mwanadamu lazima kiwe complicated na very intelligent kuliko mwanadamu mwenyewe......sasa je,unataka kuniambia kwamba kitu kilichoumba mwanadamu kimesahau kumwekea kinga huyu mwanadamu ili ajilinde dhidi ya mazingira yake kiasi kwamba mwanadamu mwenyewe ndio aje kujirekebisha ili aendane na mazingira?

La hasha,si kweli.Kinga ya mwanadamu ni ile acquired/natural immunity/kinga ya asili,na kinga hii ina uwezo wa kila kitu kama mwanadamu huyu ataishi kiasilia.

Sasa jiulize,kama kweli chanjo ni kitu cha kweli,kwanini hakuna chanjo ya malaria wakati malaria ni ugonjwa unaosumbua sana na unaongoza kwa kuua duniani?Najua hapa madaktari lazima wawe na jibu hata kama ni la uongo.Kwanini typhoid haina chanjo?kwanini TB haina chanjo? nk?

Jaribu kufuatilia kwenye mitandao utaona kuna wanasayansi/madaktari wengi sana wanaelimisha watu kuhusu uongo huu wa chanjo....kuna documentaries nyingi mno za madaktari tofauti kutoka nchi tofauti kuhusu uongo juu ya chanjo.Hata mazingira tunayoishi yenyewe yanajionesha huku mitaani.Mimi mwenyewe nimemzuia mwanangu asipewe chanjo na yuko na afya njema haumwiumwi kama wale waliopewa chanjo,ninamlisha msosi wa nguvu wa asili,ana mwili tough na nguvu nyingi....sasa nikiona watu wamejawa woga wanakimbilia chanjo huwa nawasikitikia sana kwa kuwa hawajui kinachowakabili mbele.

Chanjo ni biashara kubwa sana ya wakubwa kama ilivyo ile ya HIV/AIDS,cancer,kisukari na malaria.Nani anajua kama glasi zako 3 za alovera zinaponesha malaria safi kabisa bila hangover kama ile inayosababishwa na sumu ya dawa za kimagharibi/western medicine?

Tulia,tafakari,chukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…