Madaktari wameshauri akatwe miguu


Asante mkuu nitaangalia cha kufanya
 

Nimeshindwa kuiweka report kwa sababu si mtaala anasimamamu sana wa mambo haya isipokuwa mfupa aliokuwa hana ni tibia kwa sababu wameandika tibia not palpable both legs sasa ninachojiuliza mbona kuna baadhi ya wakati huwa akipata sehemu ya kushika au sasa nyingine huwa kama vile anataka kusimama yaani anakuwa amekaa halafu kama vile anapata hamu ya kusimama anashika mikono chini then anainuka miguu yote inainuka kabisa yaani huwa anafanya jana vile wanavyofanya watoto wanaojifunza kusimama
 
pole sana mkuu, huo ni mtihani mgumu kweli jamani,naomba Mungu akuongoze ufanye maamuzi sahihi
 
 
pole sana mkuu, huo ni mtihani mgumu kweli jamani,naomba Mungu akuongoze ufanye maamuzi sahihi

Asante sana mkuu nashukuru Mungu kanitia nguvu sana juu ya hilo jambo sijawahi kutetereka namuona mtoto wa kawaida tu
na isitoshe mtoto mwenyewe ni mchangamfu sana ukimkuta anacheza wala huwezi gundua kama anamatatizo
 
Asante sana mkuu nashukuru Mungu kanitia nguvu sana juu ya hilo jambo sijawahi kutetereka namuona mtoto wa kawaida tu
na isitoshe mtoto mwenyewe ni mchangamfu sana ukimkuta anacheza wala huwezi gundua kama anamatatizo
zidi kumtegemea yeye na kumshukuru kila uchao kwa ajili ya huyo mtoto na wala usije kumlaumu kwa kukupa mtoto mwenye tatizo km hilo, naamini ipo siku huyu anaeumba kwa namna anayoijua yeye atakisikia kilio chako na kumsaidia mwanao mpenzi ktk hilo........Mungu azidi kukutia nguvu mkuu
 


duh! mmmmmmmmmh!
 
Ni kweli.
Kama alivyoshauriwa yule ndugu mwenye kansa ya figo, hebu onana na madaktari wengi iwezekanavyo. Nenda ccbrt na ingia mtandaoni ufanye mawasiliano na hospitali za ulaya kwa email. Scan ripoti ya dr na uwatumie tu waambie natafuta 2nd opinion.

Mungu awasaidie kwa wakati. Kila la kheri
Mkuu kwanini apelekwe India badala ya CCBRT Hospital, Msasani, Dar es Salaam???????

Piga namba hizi kwa uhakika zaidi; + 255222602192 ‎
 
Pole sana.
Mungu akupatie ufumbuzi ktk hili.
 
mkuu je unaweza kunipa detail ya hizo hospital za marekani ama popote duniani wanapoweza kufanya hiyo tiba nipate kuwasiliana nao ili nione uwezekano wa kumpeleka huko kama tutafikia muafaka na uwezo utaruhusu
 
jamani, Mungu awape ufumbuzi wa hii shida. Mungu awatendee muujiza kwa huyu malaika wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…