pole sana mkuu! sijajua kiundani tatizo la mtoto wako ni lipi , ila kutokana na maelezo yako naona linafanana na hemimelia (fibular hemimelia au tibial hemimelia au fibular and tibial hemimelia)ki
hayo ni miongoni mwa matatizo makubwa sana katika afya ya mtoto na matibabu yake ni magumu sana,,,,,,,,,
ninaweza kurudi baadae na shule kamili ila kwa kifupi kuna option 2 za matibabu........
1. ya kwanza ni hiyo ya kukata mguu ( amputation) ili kuweza kujifunza matumizi ya miguu ya bandia katika umri mdogo , huku akibadilishiwa kila mwaka kulingana na anavyokua.
2. ni upasuaji wa mfululizo wa kurekebisha hiyo hali kila anapokua , hii ina athari nyingi sana ikiwemo deformities na maumivu ya mara kwa mara bila kusahau ni bei ghali sana na inafanyika marekani.[/
QUOTE]
Report iko hivi mkuu
Diagnosis
.congenital bilateral tibia hemimelia with dislocation of both ankle joint and subluxation of knee joint
Examination.
.bilateral prominent femoral condyles
.tibia not palpable both legs
.Rom knee flexion 0-100 degrees
.bilateral dislocation of ankle and subluxation of knee joint
Nadhani umeipata picha mkuu kwa sababu nahitaji kuamua njia gani na yenye manufaa kwa mtoto nichague