Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

Mbele yake, Nyuma yetu.....
Kibonde amekamilisha ya Dunia!
Kifo kiwe somo kwa tuliobaki.
RIP Kibonde
 
Kuna kipindi aliwatukana wanafunzi wa UDSM kuwa bum wanalopewa eti wanakula pombe tu zinazowafanya wagome. Madent ilikua nusura wakamchome ndani ya nyumba yake pale ubungo karibu na mabibo hostel.
Kweli kabisa nakumbuka daa tulikasilika sana kiukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF kiboko. Kamwene JF
Hii habari ya kitambooo

Kibonde uliwaza na kutafakari nini wakati wa msiba wa Ruge kukupatia msongo wa mawazo?

Mungu amrehemu.
**Just curious ....Ni High or Low Blood Pressure?
 
Makaburi yameanza kufukuliwa. Nilijua tu huu uzi lazima urudi. Maana naukumbuka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli nimekumbuka mwalim mmoja wa nidham alikuwa anapenda kuandika kwa kila baya au zuri liliofanywa. Na akiwa anasema " Kilichoandikwa kimeandikwa" maana ata miaka ngapi kilichoandikwa kitabaki . sasa ndo aya. Kwa miaka yoote iyo watu vichwani washasahau ila kwa kuwa iliandikwa basi kumbukumbu zimerudi. Aya maisha bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…