Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Really???ARV + Hypertension = Death!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Really???ARV + Hypertension = Death!!
Achana na Yai...andika kwa KiswaziHe died of Pressure in Bugando,Why u have a lot of unconfirmed News?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingirishi sio mchezoHe died of Pressure in Bugando,Why u have a lot of unconfirmed News?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu we mjinga sanaOoh...SIDA ya danger!Napiga pole mingi sana kwa jamaa yake,ndugu na marafiki yake.Sote tu batoto ya Nzambe!
Bon,niko ya foo terible mukubwa!Hii maladi inabatwala mapatrol pomoni sana.Namiki kolela jhuu ya bandugu wangu.
Kweli kabisa nakumbuka daa tulikasilika sana kiukweli.Kuna kipindi aliwatukana wanafunzi wa UDSM kuwa bum wanalopewa eti wanakula pombe tu zinazowafanya wagome. Madent ilikua nusura wakamchome ndani ya nyumba yake pale ubungo karibu na mabibo hostel.
Makaburi yameanza kufukuliwa. Nilijua tu huu uzi lazima urudi. Maana naukumbuka sana.KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
![]()
ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!
wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!
sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde ofall the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani?? au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwawewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni?? Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??
KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA
ARV + Hypertension = Death!!
Achana na Yai...andika kwa Kiswazi
Ama kweli nimekumbuka mwalim mmoja wa nidham alikuwa anapenda kuandika kwa kila baya au zuri liliofanywa. Na akiwa anasema " Kilichoandikwa kimeandikwa" maana ata miaka ngapi kilichoandikwa kitabaki . sasa ndo aya. Kwa miaka yoote iyo watu vichwani washasahau ila kwa kuwa iliandikwa basi kumbukumbu zimerudi. Aya maisha bwana.KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
![]()
ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!
wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!
sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde ofall the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani?? au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwawewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni?? Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??
KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA
Haha unadhani angeelewa Mkuu?Ungesema hivii...''achana na yai tumia korosho''
Hivi we huwaga ni mkongo eeh?Bon,niko ya foo terible mukubwa!Hii maladi inabatwala mapatrol pomoni sana.Namiki kolela jhuu ya bandugu wangu.
Ukongo niutoe wapi Sheryl!?Uonguongo tu umenitawala.Kaa chonjo ntakuibia buree!Uko bien momii?Hahahahaaa

Aisee,vremaa namuona patrol Josee Kabila mu-avatar yako!Amekuwa mutu ya kabhambee sana.Hahahaha, asee
MTC | 101| [emoji769]