Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

Tafadhali niambieni alisemaje? maana mimi sisikilizi Clound FM wala siangalii TV yake kabisa kwa sababu zangu za msingi sana...
 
Hiyo Id yako kwa wabena ina maanisha mtakufa.... sasa nimeongezea kwamba mtakufa na mayai....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapo vipi?
Ahaaa, kumbeee.

Mimi kwa kabila langu ina maanisha ni ''Mpwa", lengo la kusajili hii Id ndio lilimaanisha hivyo ila sikujua kama kuna kabila lingine ambalo hili neno lina maana nyingine pia.
 
Sikusikia alichosema kiasi cha kukufanya utoe povu hadi kumuunganisha na kuhongwa na serikali!
 
Ahaaa, kumbeee.

Mimi kwa kabila langu ina maanisha ni ''Mpwa", lengo la kusajili hii Id ndio lilimaanisha hivyo ila sikujua kama kuna kabila lingine ambalo hili neno lina maana nyingine pia.
Lakini haina shida..... imekaa njema Mpwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…