witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] ...sikuweziAlisha jifungua, basi sio kubadili mbeleko wallah....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] ...sikuweziAlisha jifungua, basi sio kubadili mbeleko wallah....
Embu ufunge sass, ndege asije kudokoa meno yaliyobakia tukaanza kukusagia chakula.[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Mdomo wangu umebaki wazi kabisaaaa....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Nigawe tu mkuu.... tehteehhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] ...sikuwezi
Naona umeamua kutumia mua kama mkongojo kwenye safari ndefu... tehteehhhEmbu ufunge sass, ndege asije kudokoa meno yaliyobakia tukaanza kukusagia chakula.[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Nimefika.mkuulucas mobutu njoo usome huku
Mkuu sijakuelewa una maanisha nini, funguka basi kama hutojaliMwifwa na Makan'ga mbegali.....
Hiyo Id yako kwa wabena ina maanisha mtakufa.... sasa nimeongezea kwamba mtakufa na mayai....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapo vipi?Mkuu sijakuelewa una maanisha nini, funguka basi kama hutojali
yeah ni shida mkuuNimecheka kwa sauti.......hakuna namna ashuke tu maana tumechoka sasa.....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ahaaa, kumbeee.Hiyo Id yako kwa wabena ina maanisha mtakufa.... sasa nimeongezea kwamba mtakufa na mayai....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapo vipi?
sawa comrade wanguComrade......
Ebu niwatakie safari salama
Sikusikia alichosema kiasi cha kukufanya utoe povu hadi kumuunganisha na kuhongwa na serikali!KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
![]()
ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!
wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!
sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde ofall the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani?? au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwawewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni?? Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??
KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA
Lakini haina shida..... imekaa njema MpwaAhaaa, kumbeee.
Mimi kwa kabila langu ina maanisha ni ''Mpwa", lengo la kusajili hii Id ndio lilimaanisha hivyo ila sikujua kama kuna kabila lingine ambalo hili neno lina maana nyingine pia.
Hiyo Id yako kwa wabena ina maanisha mtakufa.... sasa nimeongezea kwamba mtakufa na mayai....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hapo vipi?
Afwe na Makan'gaahhahaha ye 'afwe' 'teyale'
Afwe na Makan'ga
Sulagela be munu.....hhhahahaha wina luhulo veve
hahahahahSulagela be munu.....
Bora hayo mambo yanafanywa kwa kificho lakini hilo la kutoa taarifa madhaifu ya mgonjwa wake kaenda mbali sana anaweza kuchukuliwa hatua na kufutwa kazi