ATRACURIUM
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 753
- 918
Inatisha, hizi taarifa za mke wake ni za kweli?
Kwa kabila letu linamaana mbaya sanaAhaaa, kumbeee.
Mimi kwa kabila langu ina maanisha ni ''Mpwa", lengo la kusajili hii Id ndio lilimaanisha hivyo ila sikujua kama kuna kabila lingine ambalo hili neno lina maana nyingine pia.
Jane Hujambo?Kwa kabila letu linamaana mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu ufunge sass, ndege asije kudokoa meno yaliyobakia tukaanza kukusagia chakula.[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Sijambo za wewe nduguJane Hujambo?
Mimi Sijambo.Ila Nina Kaswali Kadogo,niulize?Sijambo za wewe ndugu
UlizaMimi Sijambo.Ila Nina Kaswali Kadogo,niulize?
Daby njoo nisaidie kudadavua hii misamiati.Naona umeamua kutumia mua kama mkongojo kwenye safari ndefu... tehteehhh
huo mua utaula tu ukiuutumia kama mkongojoDaby njoo nisaidie kudadavua hii misamiati.
Tutasaidiana na Ushimen, maana anameno mengi kunizidihuo mua utaula tu ukiuutumia kama mkongojo
nina wivu ujue Mfungwa.Tutasaidiana na Ushimen, maana anameno mengi kunizidi
Banzoka iko wapi...ujinyongee?nina wivu ujue Mfungwa.
khaaa... haya tu weweBanzoka iko wapi...ujinyongee?
[emoji1][emoji1][emoji1]Kuhofia kushitakiwa!!
sizitaki mbichi hiziTafadhali niambieni alisemaje? maana mimi sisikilizi Clound FM wala siangalii TV yake kabisa kwa sababu zangu za msingi sana...
Daby njoo nisaidie kudadavua hii misamiati.
huo mua utaula tu ukiuutumia kama mkongojo
Tutasaidiana na Ushimen, maana anameno mengi kunizidi
Naomba nisiongeze neno tafadhali...nina wivu ujue Mfungwa.