Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

Ni kweli kibonde domo kaya.Lakin hawa madaktari hawana weledi kabisa WAmesahau wito wao.Ni wapi wanatoa mamlaka ya kutoa siri za wateja wao(wagonjwa)..HEKIMA HAIJATUMIKA VYEMA
 
Shikamoo mkuu
 
Una maana Jamii Forum ni wazuri wa kuwalinda watukanaji kutoka kwenye mikono ya sheria kuliko privacy ya afya?!
 
Maadili ya wahudumu wa afya ZIRO, taaruma haijatendewa haki, nchi za watu Kibonde anaweza enda mahakamani kuwashtaki kwa uzi huu.

Doctor ni wajibu wake kuhudumia mgonjwa haitaji fadhila, nesi na doctor kama havai groves ni uzembe wake, wala si jambo la kuja hapa na kujisifu, hata hivyo nani ataishi milele hapa duniani, fyuuuuu.
 
ujumbe umeletwa kujibu mke wa kibonde alikuwa anaumwa nini na kafa na nini hivyo natumaini hili ndilo lililojenga kufikisha ujumbe hayo mengine si yakuyajadili wakati huu. hata hivyo tuzingatie kuwa bado anahitaji faraja ambayo itamsaidia kutunza watoto na kulea familia alioachiwa kwa siku zingine zaidi.
 

Dkk: 1:45 -1:55

"Kibonde anatukana watu hovyo redioni hatari iliyo mbeleni wala haoni
hana akili kichwani au anavyosambaza ngoma makusudi mitaani anadhani hatumuoni"-Sugu
Hawa jamaa wa Vinega walikuwa wanaongea ukweli mtupu,, lkn bado kuna raia walikuwa hawaamini,,, bado na zle stori za kuwa kuna presenter pale sio ridhiki ztakuja kuwa proof
 


Kwa jinsi Kibonde anavyotwanga kwenye vipindi vyake vinavorushwa live wacha watu hapa nao wampe za uso kwani ni haki yake ili ajue kuwa kuna jamii haipendi madongo yake, na bado kihereherehere mmoja asiombe yamkute.....Sam upo?
 
Kwa jinsi Kibonde anavyotwanga kwenye vipindi vyake vinavorushwa live wacha watu hapa nao wampe za uso kwani ni haki yake ili ajue kuwa kuna jamii haipendi madongo yake, na bado kihereherehere mmoja asiombe yamkute.....Sam upo?
Mimi naona kama ma doctors wana low self esteem ndio maana hawajibu hoja za Kibonde bali wanatoa mipasho, Tena Kibonde mwenyewe sijui kaishia darasa la ngapi mpaka wakashindwa kumjibu hahaha
 
Wewe utakuwa bwana wa kibonde
 
Mwaka huo ma Daktari Tanzania waligoma wakiongozwa na m/kiti wao Ulimboka. M. Mgomo huo ulitaabisha wagonjwa ktk hospital nyingi za serikali na uliisha baada ya kutekwa Ulimboka na kuokotwa msitu wa mabwepande akiwa hoi.
Ndugu E.Kibonde alisikika redioni akiwasema vibaya sana ma Dr, ndio nao wakamjibu kwa hiyo post.
 
Mimi naona kama ma doctors wana low self esteem ndio maana hawajibu hoja za Kibonde bali wanatoa mipasho, Tena Kibonde mwenyewe sijui kaishia darasa la ngapi mpaka wakashindwa kumjibu hahaha

Hivi Doctors wanachaguliwa kwa pass gani kusomea fani yao mpaka washindwe kumjibu Kibonde? na muandishi wa habari kama Kibonde anatakiwa awe na pass ipi? baada ya hapo utajua nani ni cream
 
Kumbe ndo chanzo!
Wanasema usianzishe ugomvi Wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…