Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
54.jpg

ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!

wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!

sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde ofall the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani?? au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwawewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni?? Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??

KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA
Ni kweli kibonde domo kaya.Lakin hawa madaktari hawana weledi kabisa WAmesahau wito wao.Ni wapi wanatoa mamlaka ya kutoa siri za wateja wao(wagonjwa)..HEKIMA HAIJATUMIKA VYEMA
 
KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
54.jpg

ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!

wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!

sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde ofall the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani?? au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwawewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni?? Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??

KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA
Shikamoo mkuu
 
Jamii Forums Kila siku kuna Members wanaifanya iwe Kama watoto Forums. Afya ni Siri ya huko Hospitali na mgonjwa. Jambo Kama hili likitokea GREAT Thinkers wangeanza kufikiria ukosefu wa privacy sio tu wa afya ya aliyetajwa Bali ya sisi wote ambao ni wagonjwa Au tulikuwa wagonjwa. Pili lugha ya Kibonde inaendana na akili ya watanzania Kama Mange anapewa forum na watu 2 Millions Kwa matusi na picha Za kijinga kabisa Kwanini watu wasione kuwa Ndo lugha yenu wtz mnapenda. Majungu Ndo mtaji wa wabongo
Una maana Jamii Forum ni wazuri wa kuwalinda watukanaji kutoka kwenye mikono ya sheria kuliko privacy ya afya?!
 
Maadili ya wahudumu wa afya ZIRO, taaruma haijatendewa haki, nchi za watu Kibonde anaweza enda mahakamani kuwashtaki kwa uzi huu.

Doctor ni wajibu wake kuhudumia mgonjwa haitaji fadhila, nesi na doctor kama havai groves ni uzembe wake, wala si jambo la kuja hapa na kujisifu, hata hivyo nani ataishi milele hapa duniani, fyuuuuu.
 
wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ??
ujumbe umeletwa kujibu mke wa kibonde alikuwa anaumwa nini na kafa na nini hivyo natumaini hili ndilo lililojenga kufikisha ujumbe hayo mengine si yakuyajadili wakati huu. hata hivyo tuzingatie kuwa bado anahitaji faraja ambayo itamsaidia kutunza watoto na kulea familia alioachiwa kwa siku zingine zaidi.
 
Dkk: 1:45 -1:55

"Kibonde anatukana watu hovyo redioni hatari iliyo mbeleni wala haoni
hana akili kichwani au anavyosambaza ngoma makusudi mitaani anadhani hatumuoni"-Sugu
Hawa jamaa wa Vinega walikuwa wanaongea ukweli mtupu,, lkn bado kuna raia walikuwa hawaamini,,, bado na zle stori za kuwa kuna presenter pale sio ridhiki ztakuja kuwa proof
 
Maadili ya wahudumu wa afya ZIRO, taaruma haijatendewa haki, nchi za watu Kibonde anaweza enda mahakamani kuwashtaki kwa uzi huu.

Doctor ni wajibu wake kuhudumia mgonjwa haitaji fadhila, nesi na doctor kama havai groves ni uzembe wake, wala si jambo la kuja hapa na kujisifu, hata hivyo nani ataishi milele hapa duniani, fyuuuuu.

Kwa jinsi Kibonde anavyotwanga kwenye vipindi vyake vinavorushwa live wacha watu hapa nao wampe za uso kwani ni haki yake ili ajue kuwa kuna jamii haipendi madongo yake, na bado kihereherehere mmoja asiombe yamkute.....Sam upo?
 
Mimi naona kama ma doctors wana low self esteem ndio maana hawajibu hoja za Kibonde bali wanatoa mipasho, Tena Kibonde mwenyewe sijui kaishia darasa la ngapi mpaka wakashindwa kumjibu hahaha
 
Maadili ya wahudumu wa afya ZIRO, taaruma haijatendewa haki, nchi za watu Kibonde anaweza enda mahakamani kuwashtaki kwa uzi huu.

Doctor ni wajibu wake kuhudumia mgonjwa haitaji fadhila, nesi na doctor kama havai groves ni uzembe wake, wala si jambo la kuja hapa na kujisifu, hata hivyo nani ataishi milele hapa duniani, fyuuuuu.
Wewe utakuwa bwana wa kibonde
 
Mwaka huo ma Daktari Tanzania waligoma wakiongozwa na m/kiti wao Ulimboka. M. Mgomo huo ulitaabisha wagonjwa ktk hospital nyingi za serikali na uliisha baada ya kutekwa Ulimboka na kuokotwa msitu wa mabwepande akiwa hoi.
Ndugu E.Kibonde alisikika redioni akiwasema vibaya sana ma Dr, ndio nao wakamjibu kwa hiyo post.
 
Mimi naona kama ma doctors wana low self esteem ndio maana hawajibu hoja za Kibonde bali wanatoa mipasho, Tena Kibonde mwenyewe sijui kaishia darasa la ngapi mpaka wakashindwa kumjibu hahaha

Hivi Doctors wanachaguliwa kwa pass gani kusomea fani yao mpaka washindwe kumjibu Kibonde? na muandishi wa habari kama Kibonde anatakiwa awe na pass ipi? baada ya hapo utajua nani ni cream
 
Mwaka huo ma Daktari Tanzania waligoma wakiongozwa na m/kiti wao Ulimboka. M. Mgomo huo ulitaabisha wagonjwa ktk hospital nyingi za serikali na uliisha baada ya kutekwa Ulimboka na kuokotwa msitu wa mabwepande akiwa hoi.
Ndugu E.Kibonde alisikika redioni akiwasema vibaya sana ma Dr, ndio nao wakamjibu kwa hiyo post.
Kumbe ndo chanzo!
Wanasema usianzishe ugomvi Wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo
 
Back
Top Bottom