Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Long Live JF, hii thread imeishi miaka 6, na ilikuwa na replies 12 tu, kabla ya kaburi kufukuliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alisha jifungua, basi sio kubadili mbeleko wallah....
Mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahha bwana kuna post zako lazima nichekeMkuu....
Hivi kwanini unapenda kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi...!!??
Dahhh.....Hahha bwana kuna post zako lazima nicheke
Dahhh.....
Natumia lugha ngumu kwani?
Ama nakosea ki-inglishi?
Isije ikawa unacheka, kumbe unanicheka...[emoji29] [emoji29]
Ungenicheka, ningekufananisha na mgumba flani wa hapa mtaani kwetu... tehteehhhHahaha naanzaje kukucheka ww
ahhahaha ye 'afwe' 'teyale'
Afwe na Makan'ga
hhhahahaha wina luhulo veve
Acheni mambo yenu, mnatuharibia uzi sie tunaotafuta nini chanzo cha haya ya humu ndani [emoji36] [emoji36] [emoji36]Sulagela be munu.....
Ungenicheka, ningekufananisha na mgumba flani wa hapa mtaani kwetu... tehteehhh
Maana mgumba yule alitutesa sana miezi kumi iliyopita....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu, Hii ndio Jf ambayo wachuma majanga hukula na ndugu zao... tehteehhhDuuuh nilsha sahau
Mkuu acha kuwinda peupe hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu nisubirie hapo mkuu, tuelekee hata kusipo julikana pengine panaweza pakawa salama zaidi ya duniani wallah....
afwile munu[emoji22] [emoji22]ahhahaha ye 'afwe' 'teyale'
Leo mtumzima nimeumbuka mbele ya hadharani....[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mkuu acha kuwinda peupe hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, nimekipenda kiswahili chenu. Sana sana hapo "afwile" ukitoa "w".... tehteehhhafwile munu[emoji22] [emoji22]
"Haikutumika"! Maana ni kitamboNi kweli kibonde domo kaya.Lakin hawa madaktari hawana weledi kabisa WAmesahau wito wao.Ni wapi wanatoa mamlaka ya kutoa siri za wateja wao(wagonjwa)..HEKIMA HAIJATUMIKA VYEMA
Kama anabisha afuge nywele tuone kama hazitatepeta