frank matovu
Senior Member
- Jan 7, 2014
- 141
- 108
TUMWACHEN KIBONDE AMZIKE MKEWE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madaktari wanatakiwa kuwa na maadili ya kutojadili magonjwa ya wagonjwa wao.
Napata tabu kuamini madaktari wameandika habari hizi.
Au maadili ya madaktari wetu yameshuka hivi?
Swali langu ni kwanini wana mu attack tena personal attack kwa huo uzi? hapo ndio ninaanza kuwa na wasiwasi wa nani ni cream mkuu.Hivi Doctors wanachaguliwa kwa pass gani kusomea fani yao mpaka washindwe kumjibu Kibonde? na muandishi wa habari kama Kibonde anatakiwa awe na pass ipi? baada ya hapo utajua nani ni cream
muwe wawil hapana na mm nawafuataEbu nisubirie hapo mkuu, tuelekee hata kusipo julikana pengine panaweza pakawa salama zaidi ya duniani wallah....
inakua af.ile mtuMkuu, nimekipenda kiswahili chenu. Sana sana hapo "afwile" ukitoa "w".... tehteehhh
mwandish alianza kwa kuvunja maadili yakeMadaktari wanatakiwa kuwa na maadili ya kutojadili magonjwa ya wagonjwa wao.
Napata tabu kuamini madaktari wameandika habari hizi.
Au maadili ya madaktari wetu yameshuka hivi?
Swali langu ni kwanini wana mu attack tena personal attack kwa huo uzi? hapo ndio ninaanza kuwa na wasiwasi wa nani ni cream mkuu.
Yule alikuwa kwenye ARV muda mrefu tu. Kafariki kwa pressure. Itakuwa msiba wa Ruge ulimuumiza kupita maelezo.Duh! jamaa kapata heart attack nini, mama watoto wake nae alifariki mwaka jana
Write your reply...
Ooh...SIDA ya danger!Napiga pole mingi sana kwa jamaa yake,ndugu na marafiki yake.Sote tu batoto ya Nzambe!AIDS is real. R.I.P Kibonde.