Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Baada ya BBC kufanya uchunguzi huu ya wizi wa watoto nchini Kenya kwenye hospitali moja na kurusha hewani, Serikali imewakamata madakitari watatu walioonekana wakiuza watoto na kuwafikisha mahakamani leo.