Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la JF siku hizi imeingiliwa na mijusi isiyoeleweka yenyewe imekalia Lissu, Lissu, Lissu haijadili hoja imeshupalia kujadili watu, watu kiasi cha kufanya JF isiwe forum ya Great Thinkers na kuwa forum ya wambeya.Anawashwa na lissu.Ovyo sana ilo jamaa.Lenyewe badala yakujadili hoja linamuwaza lissu.
Wewe nawe umetoka wapi! Mbona hapa watu kila siku wanauawa na watoto kila siku wanaibwa, au siasa imekukolea mwenzetu.Manyang'au wana roho za ajabu sana, kuuza wenzao, watoto, kuuwa binadamu nk nk siyo issue kabisa, hawa majirani tunawavumilia kwa mengi sana otherwise tungesitisha ushirikiano kabisa..
Mzalendo kwelikweli wewe, siasa imekujaa mpaka kwenye nywele.Africa kuna uozo wa kila aina ila hili taifa la Kenya limevunda na linanuka, rushwa kule ni kama sala ndani ya serikali
Hatujuwi na wewe umetoka wapi, au siasa haijakukolea? Badala ya kujali na kuponda ya wenzako ungesema unafikiria nini badala ya kushobekea ku-crush kila reply za watu..Wewe nawe umetoka wapi! Mbona hapa watu kila siku wanauawa na watoto kila siku wanaibwa, au siasa imekukolea mwenzetu.
Wale wanaoshiriki kwenye shughuli za maendeleo bila kutaka kuwanyonya waafrika ni washirika wa maendeleo, lakini wale wanataka kuchukua rasilimali zetu kijanja, wanaotaka tuweke madini yetu rehani kwao kwa taratibu zao wanaitwa mabepari, mabeberu na makabailaNo kama wamesaidia hilo watakuwa washirika wa maendeleo
Beberu ni hilo kimiungu chenu MagufuliWewe chadema unajua beberu ni Nani ila unajaribu kumstiri huyo mtetea ushoga kwa kujaribu kudanganya eti BBC Nairobi ni mabeberu.
Lissu toka aende kwa beberu lake Amsterdam mnatafuta nanma ya kulisafisha Hilo beberu lenu.
Nyumbu hovyo kabisa.
You made my morning Mama D sikujua kama beberu liko kwa kamusi. Wewekee na ndg wale wanaowalamba miguuWale wanaoshiriki kwenye shughuli za maendeleo bila kutaka kuwanyonya waafrika ni washirika wa maendeleo, lakini wale wanataka kuchukua rasilimali zetu kijanja, wanaotaka tuweke madini yetu rehani kwao kwa taratibu zao wanaitwa mabepari, mabeberu na makabaila
Mimi nimeleta mada ijadiliwe kama ilivyo badala yake mnaanza kujadili akina Lissu! Sasa hitimisho la kutokomeza wizi wa watoto litapatikanaje.Hatujuwi na wewe umetoka wapi, au siasa haijakukolea? Badala ya kujali na kuponda ya wenzako ungesema unafikiria nini badala ya kushobekea ku-crush kila reply za watu..
Mulitatua zile za albino kwanza,,,satanic nation trying to give solution.Ombeni Mungu msamaha kwanzaMimi nimeleta mada ijadiliwe kama ilivyo badala yake mnaanza kujadili akina Lissu! Sasa hitimisho la kutokomeza wizi wa watoto litapatikanaje.
Wewe ulianzisha hii thread ukitaka wachangiaji wacomment unachopenda kusikia wewe, sasa si ungebaki nayo kwenye simu yako? Mbona unataka kuleta udikteta uchwara hapa kulazimisha watu wafikiri kama wewe?Wewe nawe umetoka wapi! Mbona hapa watu kila siku wanauawa na watoto kila siku wanaibwa, au siasa imekukolea mwenzetu.
Perfect. It means "beberu" ni tabia, siyo rangi, geographical wala nini. Kwa mantiki hiyo, huyu Mr Mzungu aliyeshindwa uchaguzi hivi juzi kati akatimkia kusikojulikana, anakwolifai vigezo vya "ubeberu!" Vigezo & Masharti vimezingatiwa.Wale wanaoshiriki kwenye shughuli za maendeleo bila kutaka kuwanyonya waafrika ni washirika wa maendeleo, lakini wale wanataka kuchukua rasilimali zetu kijanja, wanaotaka tuweke madini yetu rehani kwao kwa taratibu zao wanaitwa mabepari, mabeberu na makabaila
View attachment 1629699
Tabia kuu za Mabeberu, makabaila na mabepari ni kutengeneza vibaraka kutoka eneo wanalotaka kupora na kuwatumia kupata taarifa na kuingiza uadui ili wakati mnapambana na kuuana wao wawe wanapambana kuhamisha mali zenuPerfect. It means "beberu" ni tabia, siyo rangi, geographical wala nini. Kwa mantiki hiyo, huyu Mr Mzungu aliyeshindwa uchaguzi hivi juzi kati akatimkia kusikojulikana, anakwolifai vigezo vya "ubeberu!" Vigezo & Masharti vimezingatiwa.
Kweli kabisa...Wewe ulianzisha hii thread ukitaka wachangiaji wacomment unachopenda kusikia wewe, sasa si ungebaki nayo kwenye simu yako? Mbona unataka kuleta udikteta uchwara hapa kulazimisha watu wafikiri kama wewe?
I think not ok[emoji1787][emoji1787]Are you okay mentally and physically?