Mkuu Mupirocin mimi sijiiti Doctor ila wanachama wa humu ndani ndioMzizimkavu naye anataka aitwe Dr, hii ni tatizo kwa wapenda sifa wote wanataka waitwe madaktari, JK mwenyewe from my heart hastahili kuitwa Dr kama hajakwenda shule, sasa kama rais wa nchi anapenda kuitwa Dr wakati hastahili je wengine huku mtaani si kila mtu atajiita Dr
wakuu,last week nilikuwa Kenya kuudhuria jambo fulani hivi.nikapata kusocialize na baadhi ya wakenya.niliulizwa maswali mengi ikiwemo utata wa kuwepo kwa watu wengi wenye tittle ya "DOCTOR" ndipo nilipoulizwa kama je hata waganga wa kienyeji waitwa madaktari hapa kwetu?tulijadili hili ndugu zangu
Mzizimkavu naye anataka aitwe Dr, hii ni tatizo kwa wapenda sifa wote wanataka waitwe madaktari, JK mwenyewe from my heart hastahili kuitwa Dr kama hajakwenda shule, sasa kama rais wa nchi anapenda kuitwa Dr wakati hastahili je wengine huku mtaani si kila mtu atajiita Dr
Huyu jamaa MziziMkavu akiguswa kidogo anatoka povu kama kifutu. Ila ukweli utabaki palepale-mnaojiita madokta bila kusoma ni weupe tu.Mkuu Mupirocin mimi sijiiti Doctor ila wanachama wa humu ndani ndio
walionipachika jina la Doctor mkuu. Kwani kuna ubaya gani mimi kuitwa Doctor? au wewe hupendelee Mimi kuitwa Doctor Mupirocin? Kwani
nikitwa Doctor kutakuwa na ubaya wowote ule? Si heshima tu au unaonaje? Basi mimi ningewaomba Wanachama wakwite wewe
Doctor Mupirocin? unaonaje? acha wivu wako wa kijinga huo Mkuu Mupirocin. Kuna ubaya gani Rais wetu na Kiongozi wetu wa nchi kuitwa
Doctor JK. hata kama hajakwenda shule wewe kinachokuuma kitu gani? Mbona tunamwita Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa hili la
Tanzania kwani sisi Wa-Tanzania hatuna Baba yetu mpaka tukamwita Mwalimu Nyerere Baba wetuwa Taifa hili la Ki-Tanzania? Acha
Siasa zako za kipotufu wewe Doctor Mupirocin Mzima huwezi hata kutumia akili zako za U-Doctor?ndivyo ulivyofundishwa huko Shule
uliposoma nini kudharau watu wengine?
hizi nyazifa za kupeana ndiyo zitatupeleka kuzimu-eti MziziMkavu apewe uwaziri wa afya na maendeleo ya jamii?Mkuu Mupirocin, Mheshimiwa MziziMkavu hajasema wala kulazimisha kuitwa daktari....yule mheshimiwa ni daktari kama vile anavyoitwa Mheshimiwa Kikwete japo Kikwete hana faida na watanzania ila MziziMkavu ana faida kubwa sana kwa jamii yetu kwani anatoa mchango mkubwa sana humu JF na katika jamii yote. Binafsi, ndugu yangu (mpwa) amepona magonjwa yaliyomsibu kwa ajili ya MziziMkavu. Huyu mtu ni wa kumwogopa na ndiyo maana nataka nimpe uwaziri wa jamii/afya kunako 2015 nikishinda urais. Kaeni mkao wa kula :msela:
ulianza vizuri lakini ukaharibu mbaya ulipomtaja babu yako eti naye ni dokta.Digirii za kuhenya:
Kuna wenye shahada kutoka vyuo stahiki (k.m., PhD, MD, DDS, DPT, JD, n.k.) ambao wanastahili kuheshimiwa kwa kuitwa ma-Dr. Kama chuo alichopatia hii shahada kina utata basi tuchunguze lakini anastahili kupewa title yake mpaka hapo tutakapothibitisha kuwa hastahili.
Digirii za kutunukiwa (heshma):
Sasa kuna hizi digrii za kutunukiwa kama Ph.D. honoris causa (latin: for the sake of the honor). Hizi shahada za heshima zinatolewa na vyuo vikuu kwa mtu katika kutambua mchango wa kazi yake maishani. Hii shahada ina uzito sawa na ile aliohenyea mtu kwa kufanya research, kuandika desertation, na kui-defend kwenye kamati yake. Hivyo basi mtu aliepewa Ph.D. honoris causa anastahili kuitwa Dr.
Dr. Kikwete, Dr. Mengi, late Dr. Nyerere wote wanastahili kupewa heshima hiyo. Wengi wanaopewa hizi Ph.D. honoris causa hawapendi kuitwa hadharani Dr. kama alivyokuwa mwalimu Nyerere. Lakini mara nyingi hii michango inayomfanya mtu apewe honorary degree ni mikubwa sana kuliko hata a simple written desertation ilioandikwa kwa miaka 3 au 4. (my humble opinion, as a holder of a non-honorary Ph.D.)
Nani mwengine ni Dr.?
Katika safu yangu, wa kwanza kuitwa Dr. ni marehemu babu yangu aliekuwa mganga mashuhuri sana wa kienyeji kijijini kwetu who never saw the inside of a formal classroom. Watu wote wengine wanaotoa michango au ushauri mzuri kama ya tiba mbadala (Dr. MziziMkavu), mapenzi/mahusiano (Dr. Love - hivi nani hapa JF anapaswa kupewa hii heshima?), n.k. Kwa maoni yangu mtu yeyote anaejihisi ana ujuzi zamilifu kwenye fani yake anaweza tu kujiita Dr. Udaktari uchwara utajulikana haraka sana.
Nawasilisha.
hizi nyazifa za kupeana ndiyo zitatupeleka kuzimu-eti MziziMkavu apewe uwaziri wa afya na maendeleo ya jamii?
sijazungumzia maovu ya mtu bali nazungumzia talanta na merit. waatu wapewe uongozi by merit na wawe na talanta ya uongozi. siyo kwa sababu ya kujuana au alikuponyesha kwa miziziNarudia tena. Mkuu georgeallen, kama una ushahidi wa maovu ya huyu MziziMkavu njoo ofisini kwangu utupe ushuhuda ili tujiepushe naye mapema.
Mkuu georgeallen Tutakupa U-Waziri Mkuu unasemaje?Hutaki kupata cheo cha U-Waziri Mkuu wewe georgeallen?hizi nyazifa za kupeana ndiyo zitatupeleka kuzimu-eti MziziMkavu apewe uwaziri wa afya na maendeleo ya jamii?
sawa Waziri Mkuu ndugu georgeallenHuyu jamaa MziziMkavu akiguswa kidogo anatoka povu kama kifutu. Ila ukweli utabaki palepale-mnaojiita madokta bila kusoma ni weupe tu.
Mkuu georgeallen Mimi ukiniita kwa jina langu kamili MziziMkavu Hauchimbwi dawa peke yake Tosha usiite doctor wala waziri wa Afya niite kwa jina langu tu poa sana huwa ninafurahi si unajuwa hakuna jina linalofanana na jina langu kwenye hizi forums zote za duniani? Tafuta jina la MziziMkavu kwenye Google hutapata MziziMkavu mwengine ila mimi tu kaka georgeallen jina langu tosha kwa kila kitu.sijazungumzia maovu ya mtu bali nazungumzia talanta na merit. waatu wapewe uongozi by merit na wawe na talanta ya uongozi. siyo kwa sababu ya kujuana au alikuponyesha kwa mizizi
Hapa umejibu kiukubwa -hongera sanaMkuu georgeallen Mimi ukiniita kwa jina langu kamili MziziMkavu Hauchimbwi dawa peke yake Tosha usiite doctor wala waziri wa Afya niite kwa jina langu tu poa sana huwa ninafurahi si unajuwa hakuna jina linalofanana na jina langu kwenye hizi forums zote za duniani? Tafuta jina la MziziMkavu kwenye Google hutapata MziziMkavu mwengine ila mimi tu kaka georgeallen jina langu tosha kwa kila kitu.
Mkuu Kifyatu Hongera sana kwa maneno yako ya Point, mimi hata wasiponiita Daktari sitoweza kukasirika ningelipenda pia waniite kwa jina langu kamili ninaitwa kwa jina hili (MziziMkavu Hauchimbwi Dawa) huwa ninafurahi mtu kuniita hilo jina langu mkuu kuliko hayo majina mengine ya kupachikwa na watu Daktari au Mganga wa kienyeji, jina langu kamili ndio hili tu MziziMkavu Hauchimbwi Dawa au unaweza kusema jina lingine Mchunguzi na Mtaalamu wa Dawa za mitishamba hilo jina pia langu siwezi kulikataa lakini hayo majina ya kizungu mie wapi na wapi jamani.Digirii za kuhenya: