madaktari wote Tanzania ni madaktari?

madaktari wote Tanzania ni madaktari?

Mkuu georgeallen Tutakupa U-Waziri Mkuu unasemaje?Hutaki kupata cheo cha U-Waziri Mkuu wewe georgeallen?
Hapana msinipe uwaziri mkuu. Ofisi ya waziri mkuu imeshuka sana heshima kipindi hiki. eti wanataka billioni moja ya kuzika viongozi ambao hawajulikani watakufa lini. huu ni ufisadi taken too far. Labda unipe uwaziri wa kukosoa kosoa na kupinga pinga
 
Mkuu Kifyatu Hongera sana kwa maneno yako ya Point, mimi hata wasiponiita Daktari sitoweza kukasirika ningelipenda pia waniite kwa jina langu kamili ninaitwa kwa jina hili (MziziMkavu Hauchimbwi Dawa) huwa ninafurahi mtu kuniita hilo jina langu mkuu kuliko hayo majina mengine ya kupachikwa na watu Daktari au Mganga wa kienyeji, jina langu kamili ndio hili tu MziziMkavu Hauchimbwi Dawa au unaweza kusema jina lingine Mchunguzi na Mtaalamu wa Dawa za mitishamba hilo jina pia langu siwezi kulikataa lakini hayo majina ya kizungu mie wapi na wapi jamani.

Asante Dr. MziziMkavu (Hauchimbwi Dawa) kwa humility unayoonyesha, lakini kwa michango yako mingi unayotoa hapa mimi nakutunukia MD (mitishamba) honoris causa. Keep it up.
 
Mzizimkavu naye anataka aitwe Dr, hii ni tatizo kwa wapenda sifa wote wanataka waitwe madaktari, JK mwenyewe from my heart hastahili kuitwa Dr kama hajakwenda shule, sasa kama rais wa nchi anapenda kuitwa Dr wakati hastahili je wengine huku mtaani si kila mtu atajiita Dr

Mkuu hivi lini JK kasema anapenda kuitwa Dr? Lini kajipa cheo cha U-dokta?
 
traditional healers!!........na hawa wanaonunua vyeti kama akina Mzindakaya, JK etc????
 
sijazungumzia maovu ya mtu bali nazungumzia talanta na merit. waatu wapewe uongozi by merit na wawe na talanta ya uongozi. siyo kwa sababu ya kujuana au alikuponyesha kwa mizizi

Basi usitokwe na povu mkuu georgeallen, kwa kifupi mheshimiwa waziri mtarajiwa MziziMkavu mpaka hivi naandika haya bado hatujapata mtu mwenye maovu yake hivyo fani yake inamlinda kutokana na ujuzi/taaluma yake hivyo cheo chake bado kiko pale pale. Nikuulize kidogo, kwani wewe fani yako ni nini zaidi ya kulalamika?
 
Last edited by a moderator:

Mimi ni mbeba maboksi, mzee.
 
Asante Dr. MziziMkavu (Hauchimbwi Dawa) kwa humility unayoonyesha, lakini kwa michango yako mingi unayotoa hapa mimi nakutunukia MD (mitishamba) honoris causa. Keep it up.
Kifyatu hii kitu haipo- MD (mitishamba) honoris causa? Nimecheki google na Encyclopedia zote hamna
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom