georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Hapana msinipe uwaziri mkuu. Ofisi ya waziri mkuu imeshuka sana heshima kipindi hiki. eti wanataka billioni moja ya kuzika viongozi ambao hawajulikani watakufa lini. huu ni ufisadi taken too far. Labda unipe uwaziri wa kukosoa kosoa na kupinga pingaMkuu georgeallen Tutakupa U-Waziri Mkuu unasemaje?Hutaki kupata cheo cha U-Waziri Mkuu wewe georgeallen?