Madalali Haramu ndio wanashawishi wauzaji wakate 20 kwa 20!

400sqm mtu akijenga baadae anaanza migogoro na majirani Kwamba eneo lake halitoshi,
Wapo watu wamejenga kiwanja kina 9 x 9
Ile msasani peninsula 👍

Ova
 
Hakuna mipango miji wamelala... Watu wanaanza kununua na kujenga maporini huko. Mkija kufika kila nyumba imeangalia upande wake
 
Baada ya miaka mingi madhara yatakuwa mabaya zaidi halafu usemi ni ule ule
“Sijui nani katuroga”
Hakuna utawala bora
Mambo madogo tunashindwa kuyatatua na wahusika wala hawajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…