Madalali hizi sasa sio njaa, ni aibu

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,572
Reaction score
2,286
Habarini wana jukwaa

Kama heading inavyojieleza, aise madalali wa magari kuna vitu mnafanya vinakua vimepitiliza kwenye stage ya njaa lakini sasa vinakua ni aibu na kuharibiana biashara.....hivi inakuaje gari moja inauzwa na watu wawili tofauti, bei tofauti, na kwenye ukurasa mmoja wa matangazo...?

Mnavyofanya hivi mnakua mnaharibu biashara aise, mjue watanzania upepo unabadilika zamani watu walikua wanaogopa kuagiza magari nje wanaogopa kuibiwa, mkapiga sana hela lakini siku hizi technology imesambaa watu wanaagiza magari wenyewe hata kwenye simu, kwa tamaa zenu kuna siku watu hawatokua wananunua magari kwenu tena......


Attachment

Gari moja, kwenye page moja ya matangazo....mmoja anauza million 13.5, na mwingine anauza million 12.5...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nunua kwa hiyo 12.5
Ni nafuu kwako.
 
Ndio maana ya dalali kila mtu anawateja wake anaowategemea. Halafu kumbuka bei ya kuanzia sio bei ya kuuzia.n
Na bei ya dalali sio bei ya muuzaji

Wa sukumaland
 
used car bei inatofautiana kutokana na imetembea km ngapi na plate number ya gari tofauti na brand-new car🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…