Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

M Hacker

Member
Joined
May 21, 2021
Posts
56
Reaction score
62
Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service charge hta risiti ya tra hutoi.
Yaani ni bora dalali mchina anajua biashara kuliko dalali kibongo hapo ni tukio juu ya tukio.
 
Mimi ukinipeleka site nikapaelewa ....nakupa ya mwezi huo Mmoja ila ya kupelekwa haipo hiyo....sitoi
 
Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service charge hta risiti ya tra hutoi.
Yaani ni bora dalali mchina anajua biashara kuliko dalali kibongo hapo ni tukio juu ya tukio.
Anakutaka umwambie anina ya nyumba, anakupeleka tofauti ili ale 30 yako, kwa siku anakula kwa wateja 5, maana yake ana 150,00 kwa siku hapo hajapata mpangaji na halipi kodi.
 
Back
Top Bottom