Madalali wa mjini tushirikiane, ikitoka asilimia ya udalali tunagawana pasu kwa pasu

Ghost.js

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
158
Reaction score
327
Kama wewe ni dalali au mtu unaeitaji kiwanja/shamba au nyumba Kibaha karibu.

Nina viwanja vingi Kibaha kwa mfipa, vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa.

Viwanja vinaanzia million 6.5 kwa vilivyopimwa.

Na million 4 ambavyoa havijapimwa, ambayo inabeba na gharama za serikali ya mtaa.

Ukubwa ni sqm 400 kuendelea.

Nyumba zipo kuanzia million 8.

Umeme upo, maji ni dawasco

Kupelekwa site ni 10k( usafiri wa gari)

Call/whatsapp[emoji116]
0744757738

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Tungesongesha pamoja sema Kwa sasa nipo Katavi
 
Niko Mwendapole hapa tuwasiliane
 
Je mteja akilipia kiwanja Cha hati anapata HATI ya wizara baada ya mda gani?
Asante
 
Back
Top Bottom