Madalali wa mjini tushirikiane, ikitoka asilimia ya udalali tunagawana pasu kwa pasu

Madalali wa mjini tushirikiane, ikitoka asilimia ya udalali tunagawana pasu kwa pasu

Mmh milion 6.5 Kwa Sq 400 Kwa kibaha umeanza parefu aise🤦
 
Kwa Sq 400 Kwa hiyo m6.5 hata hku mbezi Bado vinapatikana tena vyenye full documents
 
Kama wewe ni dalali au mtu unaeitaji kiwanja/shamba au nyumba Kibaha karibu.

Nina viwanja vingi Kibaha kwa mfipa, vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa.

Viwanja vinaanzia million 6.5 kwa vilivyopimwa.

Na million 4 ambavyoa havijapimwa, ambayo inabeba na gharama za serikali ya mtaa.

Ukubwa ni sqm 400 kuendelea.

Nyumba zipo kuanzia million 8.

Umeme upo, maji ni dawasco

Kupelekwa site ni 10k( usafiri wa gari)

Call/whatsapp[emoji116]
0744757738


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kuna uvumi kuwa sehemu hizo za Kibaha kuna maeneo ya jeshi/serikali yanauzwa kitapeli bila watu kujua na kuwa watakuja kufukuzwa baadae. Je ni kweli?
 
Back
Top Bottom