Tungesongesha pamoja sema Kwa sasa nipo KataviKama wewe ni dalali au mtu unaeitaji kiwanja/shamba au nyumba Kibaha karibu.
Nina viwanja vingi Kibaha kwa mfipa, vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa.
Viwanja vinaanzia million 6.5 kwa vilivyopimwa.
Na million 4 ambavyoa havijapimwa, ambayo inabeba na gharama za serikali ya mtaa.
Ukubwa ni sqm 400 kuendelea.
Nyumba zipo kuanzia million 8.
Umeme upo, maji ni dawasco
Kupelekwa site ni 10k( usafiri wa gari)
Call/whatsapp[emoji116]
0744757738
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Unaweza nipa mteja bado, na ukapata kile kitakachopatikana, uaminifu ni 100%Tungesongesha pamoja sema Kwa sasa nipo Katavi
Niko Mwendapole hapa tuwasilianeKama wewe ni dalali au mtu unaeitaji kiwanja/shamba au nyumba Kibaha karibu.
Nina viwanja vingi Kibaha kwa mfipa, vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa.
Viwanja vinaanzia million 6.5 kwa vilivyopimwa.
Na million 4 ambavyoa havijapimwa, ambayo inabeba na gharama za serikali ya mtaa.
Ukubwa ni sqm 400 kuendelea.
Nyumba zipo kuanzia million 8.
Umeme upo, maji ni dawasco
Kupelekwa site ni 10k( usafiri wa gari)
Call/whatsapp[emoji116]
0744757738
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu 0744757738Niko Mwendapole hapa tuwasiliane
Dar sehem gani?Wenzako wapo mjini daslamu wanauza viwanja laki nane hadi milioni na nusu wewe kibaha unauza milioni Sita.
Very interesting
Unaongea stry za vijiwenj ndo shidaA topic for another day
Ee umejuaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]upigaji
Umeanza kuropoka.🤣🤣🤣upigaji
Ana ugonjwa wa kuropoka,msamehee bure
Kakaa sebleni kwa mume wa dada ake huyo anaropoka tu sahvUmeanza kuropoka.
Nimeshamsamehee huyo mlemavu wa akiliAna ugonjwa wa kuropoka,msamehee bure
Umefanya vizuri.
Tatizo sana.Kakaa sebleni kwa mume wa dada ake huyo anaropoka tu sahv
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app