Madalali wa mjini tushirikiane, ikitoka asilimia ya udalali tunagawana pasu kwa pasu

Mmh milion 6.5 Kwa Sq 400 Kwa kibaha umeanza parefu aise🤦
 
Kwa Sq 400 Kwa hiyo m6.5 hata hku mbezi Bado vinapatikana tena vyenye full documents
 
Kuna uvumi kuwa sehemu hizo za Kibaha kuna maeneo ya jeshi/serikali yanauzwa kitapeli bila watu kujua na kuwa watakuja kufukuzwa baadae. Je ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…