Madalali wa nyumba: Je, wanachofanya ni sahihi?

Madalali wa nyumba: Je, wanachofanya ni sahihi?

Hivi ukikataa kuwalipa,wana nguvu yeyote kisheria?,nilipangisha nyumba siku nalipwa dalali anataka nimpe feza,niliwatoa mbio.
Wanachofanya ni kama machinga kwani hawana ofisi na hata ukiwalipa hawalipi kodi. Ila ni kwamba anayetafuta na anayepangosha mmekutanoshwa na dalali. La sivyo tangaza gazetini au nje ya nyumba yako.
 
Back
Top Bottom